Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,404
- 29,379
Ukiwa na roho muzuri hata mashine inajua,nayo ina kublessHakuna, basi ni premium ..namanisha anakupikia vitu vya Ai humanizer
Lakini sija upgrade chochote kamanda
Ukiwa na roho muzuri hata mashine inajua,nayo ina kublessHakuna, basi ni premium ..namanisha anakupikia vitu vya Ai humanizer
secretarybird akiwasha ballistic hajali hilo 😂😂 "Kabla hujabonyeza POST REPLY, jiulize: Hii ni hoja au tiketi ya kwenda likizo ya lazima?"
😁😂secretarybird akiwasha ballistic hajali hilo 😂
Hii nakataa ukiwa Legend unafikiriwa kidogo , mtu kama Mshana Jr hawezi kupata ban kizembe mpaka afanye uchizi haswa"JF ban haichagui umaarufu. Unaweza kuwa legend wa miaka kumi, lakini kosa la dakika moja likakutoa kwenye game."
Alhamduliillah nina six years jf wala sijui ban ni kitu ganiHii nakataa ukiwa Legend unafikiriwa kidogo , mtu kama Mshana Jr hawezi kupata ban kizembe mpaka afanye uchizi haswa
Mimi mwenyewe Kuna wakati nilifanya tukio nihasi hapa nikiingia nakuta ban ila nikadunda .
The Icebreaker sometimes akanakuwa kama secretarybird lakini hakuti ana ban
Hili ni kweli kabisa.Hii nakataa ukiwa Legend unafikiriwa kidogo , mtu kama Mshana Jr hawezi kupata ban kizembe mpaka afanye uchizi haswa
Mimi mwenyewe Kuna wakati nilifanya tukio nihasi hapa nikiingia nakuta ban ila nikadunda .
The Icebreaker sometimes akanakuwa kama secretarybird lakini hakuti ana ban
Sheikh Kamanda Leo unasambaza Amani tu...😂 "Usiku wa Manane tunataka story, vicheko na upendo. Sio kila alfajiri tunaanza kuulizana, 'Fulani kapigwa ban tena?'"
Yani sio poa kamanda namwaga Punchline kwa fujo daadeki!Sheikh Kamanda Leo unasambaza Amani tu...
Hapana mkuu, hiyo si yangu.Akaunti yako naifananisha na mwanangu sana kitambo hiko alikuwa anatumia ID ya Kilimbatz