adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,289
- 38,951
Kongole sana , Mimi miaka 9 nilikuwa sina ban nimepata mwaka huu tokea nilivyojiunga 2017 .Alhamduliillah nina six years jf wala sijui ban ni kitu gani
Wewe hauna kashikashi nzito sijaona ukifikia hatua ukawa na majibizano makali ya hasira na kutukanana na mabifu jukwaani .
Ila Mimi inafikia stage mpaka nawindwa na Magenge ya kihalifu humu