win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,816
- 36,850
bora hata wew unakimbizwa na pesa, ila mi siioni kote kote nachokaNdo habari hiyo pesa tu inanikimbiza
bora hata wew unakimbizwa na pesa, ila mi siioni kote kote nachokaNdo habari hiyo pesa tu inanikimbiza
Nani tena huyo 😄🎵Nitakudanganya kwa tabasamu nitakudanganya kwa comment, nitakudanganya kwa kulike picha,
ila moyoni nakuchukia🎵🎵
Kama siku ukienda uarabuni 😁hivi kulikua na umuhimu gani wa kufundishwa mimea inayoota jangwani wakati tz hakuna jangwa
sasa hata nikienda uarabuni mi mimea yao Itakua inanihusu nini jamni😄😄Kama siku ukienda uarabuni 😁
khaaa hivi kumbe nimeandika huku😅😅 huu wimbo wa mondNani tena huyo 😄
Una wenge la usingizi wewe 😅khaaa hivi kumbe nimeandika huku😅😅 huu wimbo wa mond
kwakwel aseeUna wenge la usingizi wewe 😅
VN inahusu nini hiyo ?kumbe JF inakitufe cha VN! nimechelewa kujua
kifupi cha voice note, unaweza kutuma ujumbe kwa njia ya sauti badala ya kuandikaVN inahusu nini hiyo ?
Asante, ngoja niitafute nijaribu kutuma hapa nijiskilize sauti yangu Jfkifupi cha voice note, unaweza kutuma ujumbe kwa njia ya sauti badala ya kuandika
Poa, zitafika au akija atazikutakwakwel asee
yule rafiki ako sijui the code yupo? mpe salam
sawa kama vipi tupia humu kweny huu uziAsante, ngoja niitafute nijaribu kutuma hapa nijiskilize sauti yangu Jf
ayaaaPoa, zitafika au akija atazikuta
Sijakiona nahitaji maelekezo 😂sawa kama vipi tupia humu kweny huu uzi