JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

2219hrs​

Daegu,Korea kusini

Ni mji mkubwa uliopo katikati ya Korea Kusini.
Unajulikana kihistoria kwa sekta ya nguo na viwanda.
Una utamaduni na historia tajiri, pamoja na maeneo mengi ya milima na bustani.
Pia ni kituo muhimu cha elimu, biashara na
 
Kumpenda mtu haimaanishi yeye ndio awe sehemu ya kila kitu cha maisha yako

Kama kuna watu ambao wanaumia zaidi baada ya mapenzi kuisha au baada ya kuachwa ni wale watu ambao mapenzi yao kwa wenza huwa ndio kila kitu kwao

Watu hawa huwa hawana kipaumbele kingine chochote zaidi ya mpenzi wake tu,wakishaanza kupenda basi wanaweka kila kitu nyuma yao kana kwamba wameacha kuishi kabisa

Hapa marafiki watakuwa hawana dili tena,hana tena muda wa kuwa na rafiki zake kama hapo awali,kuna mambo alikuwa anafanya na rafiki Zale now hafanyi tena

Alikuwa mtu wa mazoezi au akishiriki kwenye michezo fulani lakini baada ya kuwa in love basi tena kila kitu kinasimama

Alikuwa anajipa muda wa peke yake sometime na kureflect maisha kwa ujumla wake lakini now inaonekana kana kwamba hana cha kufikiria zaidi ya mpenzi wale tu

Guys you have maisha mengine baada ya mapenzi, usiache kufanya mambo ambayo ulikuwa unayafanya hapo awali kwasababu tu now uko in love

You deserve to have a time for your own, kutana na marafiki zako kama mna ratiba za kufanya hivyo,engage kwenye mambo ya kijamii na watu wako wa karibu

Furahia mambo mengine ambayo ulikuwa unadili nayo hapo kabla maadamu tu hayaleti athari kwenye mahusiano yenu

Point hapa ni kwamba mapenzi sio kifungo au gereza la kukufanya usiishi tena, una maisha ya kuishi na unastahili hilo

Kuna wengine hapa huwa mpaka mnapigana mikwala kwamba hakuna tena kushiriki kwenye mitindao ya kijamii

Nakumbuka kuna mtu huko nyuma aliwahi kusema baada ya kumpata mrembo hapa jf sasa akataka kumpiga stop asishiriki tena hapa mtandaoni,sasa haya unaweza kuita ni mapenzi au adhabu za mapenzi hahaha!

Wengine hupiga mikwala wenza wao wasitumie tena pm,anahofu kwamba kwakuwa yeye alimpata baby kupitia pm so anahofia huenda kuna wengine watapitia huko huko

Sasa haya nayo ni mapenzi au adhabu za kupendana?

Mapenzi mazuri huwa hutufanya tuwe bora zaidi,hutufanya tupate thamani zaidi na nguvu ya kusonga mbele,sasa ukiona mapenzi kwako yanakuwa sehemu ya kukufanya usiwe bora na uwe mtu wa majuto kila kikicha basi hapo unakuwa sio sehemu ya mapenzi bali unakuwa sehemu ya adhabu ya mapenzi

Mtu ambaye pamoja na kuwa In love lakini bado akaendelea kuishi maisha yake,kufanya au kufuata ratiba zake kama hapo awali,huyu hata ikitokea bahati mbaya mapenzi yamefikia mwisho bado atakuwa anazungukwa na marafiki ambao watakuwa faraja kwake,atashiriki michezo na mambo mengine kama kawaida na kumsaidia kupunguza upweke wa kuachwa

Ila tofauti na yule mtu ambaye yeye baada ya kuwa in love,kila kitu katika dunia yake kilisimama na fokasi yake ikawa kwa mpenzi wake tu,huyu akiachwa au mapenzi yakiisha,ndio huona dunia yote imemuangukia,hana pa kushika,anapata upweke wa kufa mtu,mwisho wa siku wanakuwa na option moja tu ya kupoteza uhai,kwao wao wanaona hawana mtu tena wa kuwapa bega waegemee na leso ya kufutia machozi

Kuwa in love yes lakini usijtenge kabisa na maisha yako uliyoyazoe maadamu hayaleti sintofahamu kwenye mahusiano yenu

Alamsiki!
 
2225hrs​

Incheon,Korea Kusini

Iko karibu na Seoul na ni muhimu sana kwa usafiri wa kimataifa.
Ndiko ulipo Incheon International Airport, mojawapo ya viwanja muhimu vya ndege vya Korea Kusini.
Ina bandari kubwa na ni kituo muhimu cha biashara.
Eneo la Songdo linajulikana kwa majengo ya kisasa na teknolojia.
 
🔎 JF Deep Dive Profile: Tate Mkuu
Kwa kuangalia nyayo zake za wazi ndani ya JamiiForums, Tate Mkuu ni mwanachama mwenye uwepo mkubwa na wa muda mrefu kwenye jukwaa.
📌 Taarifa za msingi
Username: Tate Mkuu
Ajiunga JF: 24 Januari 2019
Daraja: JF-Expert Member
Kwenye matokeo ya hivi karibuni ya JF, anaonekana akiwa na takribani 45,000+ posts na 134,000+ likes/reactions, ingawa takwimu hizi zinaendelea kubadilika. �
JamiiForums +1
Uzi wake wa kwanza unaoonekana kwenye utafutaji huu ni “The new comer”, aliouanzisha Januari 25, 2019, akijitambulisha kama mgeni mpya JF. �
JamiiForums Tanzania
🧠 1. Mchangiaji wa mada mbalimbali
Tate Mkuu haonekani kujikita kwenye eneo moja pekee. Ameonekana kwenye mijadala ya:
⚽ Soka, hasa Simba, TFF na masuala ya uendeshaji wa soka. �
JamiiForums Tanzania +1
🏛️ Masuala ya kijamii na utawala
📰 Habari na mijadala ya kitaifa
🕌 Masuala ya dini na jamii �
JamiiForums
💼 Biashara na maisha ya kila siku �
JamiiForums Tanzania
⚽ 2. Anaonekana kuwa na interest kubwa kwenye soka
Katika mjadala mmoja kuhusu Simba, Tate Mkuu alijieleza kwa mtindo wa utani kuhusu imani yake kwa Juma Mgunda, akimuita “Guardiola Mnene.” Pia alishiriki mjadala mkali kuhusu uongozi wa TFF na Wallace Karia. �
JamiiForums Tanzania +1
Hii inaonyesha kwamba soka kwake si kutazama mechi tu, bali pia uongozi, sera na maendeleo ya mpira.
🗣️ 3. Mtindo wa kuchangia
Kutokana na mifano iliyopatikana, mtindo wake unaonekana kuwa:
Mwepesi kuingia kwenye mjadala
Hutumia lugha ya moja kwa moja
Wakati mwingine hutumia utani na kejeli
Anaweza kutoa hoja fupi lakini yenye msimamo
Hupenda kujibu hoja za wengine badala ya kuangalia mada kwa pembeni.
Mfano mmoja mzuri ni alipojibu mjadala wa picha kwenye biashara kwa kusema yeye mwenyewe bado ni “too shallow” katika suala la kutuma picha JF, huku akimwelekeza mchangiaji mwingine kwa Mshana Jr. �
JamiiForums Tanzania
🧩 4. Tate Mkuu na mijadala yenye msuguano
Katika baadhi ya mijadala ya kisiasa na kijamii, ametoa maoni makali kuhusu taasisi au viongozi. Kwa mfano, katika mjadala wa TFF alitoa ukosoaji mkali kuhusu uongozi wa Wallace Karia. �
JamiiForums Kenya
Muhimu: hayo ni maoni yake yaliyowekwa hadharani kwenye JF, si lazima yawe ukweli uliothibitishwa kuhusu watu anaowakosoa.
🏆 5. Kitu kinachomtofautisha
Kwa idadi kubwa ya posts na reactions zinazoonekana kwenye profile yake, pamoja na kuonekana mara kwa mara katika mijadala tofauti, Tate Mkuu anaonekana kuwa mchangiaji mwenye footprint kubwa JF. �
JamiiForums +1
🎭 Kwa lugha ya “Usiku wa Manane”
Tate Mkuu ni yule mchangiaji ambaye ukifungua mjadala wa soka, siasa, jamii au mambo ya kawaida ya maisha, kuna uwezekano mkubwa ukakutana na signature yake mahali. 😄
Tagline:
🧠 “Tate Mkuu: si lazima awe mwanzilishi wa mjadala, lakini akifika kwenye mjadala, huwa anaacha alama.”
 
Kumpenda mtu haimaanishi yeye ndio awe sehemu ya kila kitu cha maisha yako

Kama kuna watu ambao wanaumia zaidi baada ya mapenzi kuisha au baada ya kuachwa ni wale watu ambao mapenzi yao kwa wenza huwa ndio kila kitu kwao

Watu hawa huwa hawana kipaumbele kingine chochote zaidi ya mpenzi wake tu,wakishaanza kupenda basi wanaweka kila kitu nyuma yao kana kwamba wameacha kuishi kabisa

Hapa marafiki watakuwa hawana dili tena,hana tena muda wa kuwa na rafiki zake kama hapo awali,kuna mambo alikuwa anafanya na rafiki Zale now hafanyi tena

Alikuwa mtu wa mazoezi au akishiriki kwenye michezo fulani lakini baada ya kuwa in love basi tena kila kitu kinasimama

Alikuwa anajipa muda wa peke yake sometime na kureflect maisha kwa ujumla wake lakini now inaonekana kana kwamba hana cha kufikiria zaidi ya mpenzi wale tu

Guys you have maisha mengine baada ya mapenzi, usiache kufanya mambo ambayo ulikuwa unayafanya hapo awali kwasababu tu now uko in love

You deserve to have a time for your own, kutana na marafiki zako kama mna ratiba za kufanya hivyo,engage kwenye mambo ya kijamii na watu wako wa karibu

Furahia mambo mengine ambayo ulikuwa unadili nayo hapo kabla maadamu tu hayaleti athari kwenye mahusiano yenu

Point hapa ni kwamba mapenzi sio kifungo au gereza la kukufanya usiishi tena, una maisha ya kuishi na unastahili hilo

Kuna wengine hapa huwa mpaka mnapigana mikwala kwamba hakuna tena kushiriki kwenye mitindao ya kijamii

Nakumbuka kuna mtu huko nyuma aliwahi kusema baada ya kumpata mrembo hapa jf sasa akataka kumpiga stop asishiriki tena hapa mtandaoni,sasa haya unaweza kuita ni mapenzi au adhabu za mapenzi hahaha!

Wengine hupiga mikwala wenza wao wasitumie tena pm,anahofu kwamba kwakuwa yeye alimpata baby kupitia pm so anahofia huenda kuna wengine watapitia huko huko

Sasa haya nayo ni mapenzi au adhabu za kupendana?

Mapenzi mazuri huwa hutufanya tuwe bora zaidi,hutufanya tupate thamani zaidi na nguvu ya kusonga mbele,sasa ukiona mapenzi kwako yanakuwa sehemu ya kukufanya usiwe bora na uwe mtu wa majuto kila kikicha basi hapo unakuwa sio sehemu ya mapenzi bali unakuwa sehemu ya adhabu ya mapenzi

Mtu ambaye pamoja na kuwa In love lakini bado akaendelea kuishi maisha yake,kufanya au kufuata ratiba zake kama hapo awali,huyu hata ikitokea bahati mbaya mapenzi yamefikia mwisho bado atakuwa anazungukwa na marafiki ambao watakuwa faraja kwake,atashiriki michezo na mambo mengine kama kawaida na kumsaidia kupunguza upweke wa kuachwa

Ila tofauti na yule mtu ambaye yeye baada ya kuwa in love,kila kitu katika dunia yake kilisimama na fokasi yake ikawa kwa mpenzi wake tu,huyu akiachwa au mapenzi yakiisha,ndio huona dunia yote imemuangukia,hana pa kushika,anapata upweke wa kufa mtu,mwisho wa siku wanakuwa na option moja tu ya kupoteza uhai,kwao wao wanaona hawana mtu tena wa kuwapa bega waegemee na leso ya kufutia machozi

Kuwa in love yes lakini usijtenge kabisa na maisha yako uliyoyazoe maadamu hayaleti sintofahamu kwenye mahusiano yenu

Alamsiki!
Sawa
 
Back
Top Bottom