Mtag aisibreka kule basi😁Inasikitisha sana
Hasa kwenye mtihani mgumu wa Hesabu.Usikimbilie kujibu kila kitu,wakati mwingine ukimya ndio jibu lenye akili zaidi
Well said👌🏽💥Usipigane na kila anayekukosea,baadhi ya vita ushindi wake ni kutoshiriki hiyo vita
We na vikojoleo🙌🏾Muda wa vikojoleo kufanya kazi ya ziada unakaribia
Kabisaa!Kabla hujamhukumu mtu kwa hatua zake, jiulize kama ungeweza kubeba safari yake
Ni hivi 💍We na vikojoleo🙌🏾
Haszu anakuita😬Hasa kwenye mtihani mgumu wa Hesabu.
Wapi huko?Haszu anakuita😬
Kwenye uzi wake anasabahi mmoja mmoja🤣Wapi huko?