The Gworl
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,825
- 17,672
Busara zimekuponza sasa!Hiki cheo hakinifai🥲
Busara zimekuponza sasa!Hiki cheo hakinifai🥲
opsss kinakufaa 😆😆Hiki cheo hakinifai🥲
Weeeeeuweeeeeeeee.....! Tutakutana j3 kwenye supu tu.😆😆 nimecheka kwa nguvu walah,, ndo namalizia kupaka eye liner hapa niwatoroke😅
kipenseli cha magotini🙃Unavaa kimini au mgongo wazi?
Sisi au win? Si amesema anajiandaa anakuja au sio kwako .tusije mix ma file 🤔🤔Furahi day mko wapi?
j3 mbaliii kesho tu asubhi narudi kuwaletea zawadi alf nahama tena, hapo ndo mpka j3😆😆Weeeeeuweeeeeeeee.....! Tutakutana j3 kwenye supu tu.
Sawa tukutane mwezi wa 6 maternity wardkipenseli cha magotini🙃
akikujibu unitag homeG😜Sisi au win? Si amesema anajiandaa anakuja au sio kwako .tusije mix ma file 🤔🤔
Umeongea kama wa mama wa kiafrica..haieleweki kwa heri ama shali 🤗Sawa tukutane mwezi wa 6 maternity ward
umewaza mbali😅, naenda kwenye birthday dakika 0 nisharudiSawa tukutane mwezi wa 6 maternity ward
umeona eeeh, hata mda wa chakula ukifika unakua hauli kwa amani na mara nyingi maneno yao huwa hayawi wrong😅Umeongea kama wa mama wa kiafrica..haieleweki kwa heri ama shali 🤗
🤣🤣🤣 Mwanafunzi wa feruzi, Starehe mwanzo mwisho mwa mwi..🤣🤣🤣🤣j3 mbaliii kesho tu asubhi narudi kuwaletea zawadi alf nahama tena, hapo ndo mpka j3😆😆
Nimemkanya😎Umeongea kama wa mama wa kiafrica..haieleweki kwa heri ama shali 🤗
Bday au house party?😂umewaza mbali😅, naenda kwenye birthday dakika 0 nisharudi
Mshauri kama mshauri lazma a forecast..umewaza mbali😅, naenda kwenye birthday dakika 0 nisharudi
ile kauli ya "we live once" ndo inatuponza😆😆🤣🤣🤣 Mwanafunzi wa feruzi, Starehe mwanzo mwisho mwa mwi..🤣🤣🤣🤣
nimesikitika, bora ungesubiri nirudi😪Nimemkanya😎