Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,620
- 27,508
The gwori sasa anaanza kuwa romanticAs you wish my Kuryan princess.
How about we have dinner sometime? What do you say?
win-one umemuona ssy wako?
The gwori sasa anaanza kuwa romanticAs you wish my Kuryan princess.
How about we have dinner sometime? What do you say?
Ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji🤣alooo😅
eti gwori😅😅 kwanini umuharibie jina homeG wangu?,,
Leo ndio nimeanza kucheki moja,ila wanastahili kutake time,wanafeed data na maarifa mengi sanaMi nilishamaliza season 1 na 2, sijui kama watatoa season 3 ila wanachukua almost miezi 6 mpaka 7 kutengeneza episode moja tu, nasubiri nione episode inayofata sijui wata zungumzia nini
I agree, binadamu huwa haridhiki na anachopata ila tunachoweza ni ku control zile tamaa zetu na kujiambia tumeridhika hata kama ni deep inside tunajua hii ni false belief2240
..So how Easy it is o say satisfactions is a myth..
KabisaHuwa haturidhiki kila tunavyopata na ndio tunataka kupata zaidi
Kwani nafeli wapi wa kishua?eti gwori😅😅 kwanini umuharibie jina homeG wangu?,,
Njoo pm kuna kitu nataka kukuuliza.!!Ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji🤣
nani kanyolewa na nani🤔Ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji🤣
Hii imeenda. Kuanzia leo Fake P ni "Gwori"Kwani nafeli wapi wa kishua?
Huyu mzee namuona kaamua acheze team ya kuniprovoke ... 🤗🤗eti gwori😅😅 kwanini umuharibie jina homeG wangu?,,
Umeifunga.Njoo pm kuna kitu nataka kukuuliza.!!
hiyo wa kishua umefanya tresor aamini nina maisha mpka kaninyima kazi😪,, sitaki tena litumikeKwani nafeli wapi wa kishua?
Sorry kamanda kumbe ni The gwori right?Huyu mzee namuona kaamua acheze team ya kuniprovoke ... 🤗🤗
We nawe una maswali kama polisi.nani kanyolewa na nani🤔
Ngoja ukifika kwenye episode ya "the island of dajjal" ndio utashangazwa, hiyo ndio episode yangu pendwa zaidiLeo ndio nimeanza kucheki moja,ila wanastahili kutake time,wanafeed data na maarifa mengi sana
na akae akijua hawezi kututoa mchezoni kabisa maana yeye sio wakwanza na hawezi kuwa wa mwisho💃😊Huyu mzee namuona kaamua acheze team ya kuniprovoke ... 🤗🤗
niue basi😏We nawe una maswali kama polisi.
NaifunguaUmeifunga.
The goal ndio yenyewe kamandaSorry kamanda kumbe ni The gwori right?