Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,687
- 27,604
anakimbizwa kwenda wapi😅Anaandika kama anakimbizwa.
Ukitaka kujua kila kitu utakosa furaha leloo... Lione kwanza eti tiss🤣🤣Unajifanya TISS ndugu yangu.
nakazia, amekua na kisabengo sana😅Unataka kuelewa kila kitu?? Hapana vingine vikupite sawa leloo
Huyu si chizi huyu anaonekana (in mzee mpili voic) nilishamshauri angle za kutembelea lakini holaa chizi huyunakazia, amekua na kisabengo sana😅
Ukitaka kujua kila kitu utakosa furaha leloo... Lione kwanza eti tiss🤣🤣
Lazima tujue!😃 Umbea pelekeni PM.nakazia, amekua na kisabengo sana😅
mda umewadia tukuveshe kijorlaaaaa😎🤭Lazima tujue!😃 Umbea pelekeni PM.
muache kama ni sikio la kufa, hata asikuchoshe😍Huyu si chizi huyu anaonekana (in mzee mpili voic) nilishamshauri angle za kutembelea lakini holaa chizi huyu
Bado hamjasema.mda umewadia tukuveshe kijorlaaaaa😎🤭
Uzuri siku hizi Kila mtu anaharaka zake..tumuache kama ni sikio la kufa, hata asikuchoshe😍
wew piaBado hamjasema.
Nothing special dogo...! Corner ya blah blah..Bado hamjasema.
si ndiwo😅Uzuri siku hizi Kila mtu anaharaka zake..tu
As you wish my Kuryan princess.Nothing special dogo...! Corner ya blah blah..
Huwa haturidhiki kila tunavyopata na ndio tunataka kupata zaidi2235hrs
"it doesn't matter what we want, once we get it, then we want something else"
22402235hrs
"it doesn't matter what we want, once we get it, then we want something else"
Mi nilishamaliza season 1 na 2, sijui kama watatoa season 3 ila wanachukua almost miezi 6 mpaka 7 kutengeneza episode moja tu, nasubiri nione episode inayofata sijui wata zungumzia ninidosho12
Ebwana leo nilianza safari yangu kuangalia zile video ulizo niambia aisee unaweza kudata
Huu ulimwengu ni mkubwa sana,tunaambiwa kile tunachokiona sio hali halisi ilivyo
Just imagine, jua ni kubwa kwa dunia mara 1,300,000 ,halafu unaambiwa kuna nyota bilioni 200 ambazo zina ukubwa sawa sawa na jua
Na hiyo ni galaxy moja tu ambayo ipo kwenye solar system yetu,na inasemwa kuna mamilioni ya galaxy
alooo😅As you wish my Kuryan princess.
How about we have dinner sometime? What do you say?