win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,512
- 35,602
naomba nile kwa niaba yakoKila nikila chips natapikaš„²
pole achana nazo
naomba nile kwa niaba yakoKila nikila chips natapikaš„²
Si ndio inavyoandikwa au,ebu tufahamisheJaman hiv nyie gwori mnaisoma wapi š„¹š„¹ššš... Au mnatamka kwa kilugha
Angekua ni Me tungepaza Sauti za kishindo FANYA UOE" sijui kwako tuisemeje sasaš„¹huwezi amini ni vyombo vyangu mwenyewšš nipo navicheki tu
Muda utaongea baby girlaiiiii jamni mimi,, nimeacha kuanzia sasaš
mwambie akuachešImetumiwa nao, lakini maana yake si inaeleweka ... Au sasa Kwamba tuisusie rainbow sababu inatumiwa na Lgb...
Fanya azae akuze šAngekua ni Me tungepaza Sauti za kishindo FANYA UOE" sijui kwako tuisemeje sasaš„¹
Asante!naomba nile kwa niaba yako
pole achana nazo
š¤£š¤£š¤£š¤£ Naah. Sasa hivi kiboss boss ....saivi umehamia usiku wa mwanzoni mwanzoni š
š¤£š¤£ Lundo la waziwanda lkn wameshaenda kwaoš¤š¤Kumbe una mziwanda na hausemi
kweli vile nimeacha,, ila nikijisahau naomba nisameheweššMuda utaongea baby girl
A Gworl with a gyatt.Imetumiwa nao, lakini maana yake si inaeleweka ... Au sasa Kwamba tuisusie rainbow sababu inatumiwa na Lgb...
UnaumwaKila nikila chips natapikaš„²
Ahaa, umerudi kwa mjomba?šmbona nishatoka kwa shemeji mdaaaa mpka nikasahau
homeG nimeliašŖšŖšŖAngekua ni Me tungepaza Sauti za kishindo FANYA UOE" sijui kwako tuisemeje sasaš„¹
Shika mzizi achia matawi..young boyA Gworl with a gyatt.
saivi najitegemea, karibu geto uje kuona feni ya mbaošAhaa, umerudi kwa mjomba?š
Hata Mimi umeniliza na kwikw, nasema sasa hapa namfanyaje huyu, si unaona mpk naomba sapot kwa mshauri mwenza...homeG nimeliašŖšŖšŖ
Nimejaaa tele kama pishi la mchele yakheeeeNimemkumbuka ShesRise_1 AKA ustadhat wa mwendokasi.