JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jukumu langu ni kutayarisha lindo na kuhakikisha kila kitu kipo sawa

Sasa kadri muda unavyoenda makamanda tunapeana zamu kuhakikisha lindo halikosi mtu

Mkali wa usimamizi usiku mnene ni kamanda The Gworl zamani akijulikana kama Fake P
Daah oya mkuu daah.... usiku mnene sipo tena ..Malezi yameisha 🤣🤣🤣
 
nimechoka kuosha vyombo😎
Wewe mtoto hata sijui tukakutupe wapi
Daah oya mkuu daah.... usiku mnene sipo tena ..Malezi yameisha 🤣🤣🤣
Duh kamanda kwahiyo The gwori imekuja na mabadiliko mengine? Sawa kamanda hakuna shida,tumepokea maelekezo

Tutatumia cctv kamera kufuatilia lindo sasa ile mida ya wanga
 
Back
Top Bottom