win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,628
- 36,228
asubiri hata nipumzike kwanza maana uwih 😅 siezi eleza vyoteMtu hajarud anaulizwa, unataka asirudi sasa🤣
asubiri hata nipumzike kwanza maana uwih 😅 siezi eleza vyoteMtu hajarud anaulizwa, unataka asirudi sasa🤣
ndio unarudi au unarudishwa saa hz?asubiri hata nipumzike kwanza maana uwih 😅 siezi eleza vyote
najirudisha pekeangu tresorndio unarudi au unarudishwa saa hz?
mmmh ,sawa sawa,birthday ilikua babkubwanajirudisha pekeangu tresor
mnooo tuliienjoy sana watu wanakula maisha sio poa aseemmmh ,sawa sawa,birthday ilikua babkubwa
safi sanamnooo tuliienjoy sana watu wanakula maisha sio poa asee
Ka wivu kwa mbali..Still lov ipo ...😌ndio unarudi au unarudishwa saa hz?
Hujawahi kuweka?nimeweka tips kwenye vidole vya mkono yaan sikujua kama nitapata tabu kuchart namna hii na kutoa siwezi pesa bado haijarudi
ndio huwa napaka rangi ya jelly pekeakeHujawahi kuweka?
Usiweke ndefu sanandio huwa napaka rangi ya jelly pekeake
ni saizi ya kati sio ndefu wala fupi sana,, shida ni mazoea😅Usiweke ndefu sana
Umepewa hela nyingi kwenye bday ya jana😎ni saizi ya kati sio ndefu wala fupi sana,, shida ni mazoea😅
ila mshauri dah😅😅,, sijapewa ila nimeji gharamikia,, mimi ni super woman😜Umepewa hela nyingi kwenye bday ya jana😎
Ajibu taratibu judge ninaandika, hili swali sio la hapa na pale..😂😂Umepewa hela nyingi kwenye bday ya jana😎
swali chokozi😅😅😅Ajibu taratibu judge ninaandika, hili swali sio la hapa na pale..😂😂
Mshauri Mchokonozi...kwambali kama anakuja, ila kwa karibu tayari amefika ..swali chokozi😅😅😅
sindio😅 ni kama anapima kina cha maji je yamo au namna gani😆Mshauri Mchokonozi...kwambali kama anakuja, ila kwa karibu tayari amefika ..