Hata kama una cheat,ndio ucheat na junior kweli?
Naamini sote tupo loaded usiku huu au sio,yes tupo gado
Jamani hata kama umeamua kucheat basi usicheat na junior cheat na senior walau inapunguza maumivu
Maana ukicheat na senior hata huyo uliyemkosea walau atajifariji kwa kuona kwamba,mpenzi wangu huenda kakutana na hekima,busara za huyu mtu mzima akajikuta ameshawishika kwani malegend wana ushawishi mwingi kutokana uzoefu wao
Sasa mtu unaenda kucheat na kajunior ka 15 years old kama sio dharau ni nini?
Yes,imemkuta mwamba mmoja,yupo na mwanamke wake wana ka baby girl ka 2yrs,wako kwa relationship for 3yrs wako pamoja pika pakua
Mwamba anaamka 0400hrs kuwahi kukimbizana na doo,kwa upande wa pili manzi anafanya kazi kwenye apartment ya washua,so manzi anatoka na junior wa 15yrs,mtoto wa maboss wake
Kuna ishu ilitokea junior akaomba 10k kutoka kwa manzi,manzi akasema yeye mwenyewe hulipwa 10k,je akitoa yote atabakia na nini?
Ndio mwamba akakumbuka siku moko,manzi wake akamuomba 5k akisema anataka sijui akanunulie nini,kumbe ilikuwa achukue hiyo 5k halafu akampe kajunior
Sometime manzi alikuwa anasema analala job kumbe alikuwa analala na junior
So mwamba akamaindi kwamba,yani afadhali manzi yake angemchiti na mtu mzima kama Ertugrul bey walau basi ingemake sense lakini ana cheat na junior over all people? Hapa mwamba ndipo alipomaindi sana
Mwamba akaendelea kufunguka kwamba,akirudi home jioni yeye ndio huenda kumchukua mtoi huko kwa jirani,aje amuogeshe na ampikie na kumrisha,wakati manzi yake anakuwa bado hajarudi,halafu mwisho wa siku eti junior ndio anaichapa,aisee hiyo inauma sana.
View: https://youtu.be/dqwzZcdTjMU?si=Keprbln8WrqX-j2T
Alamsiki!