win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,130
- 34,181
mi naenda kuoga ila nitarudiNaona Leo mnapumzi pumzi mnakaribia 0000 .hrs
Au malizeni muondoke basi 🤕
0000
mi naenda kuoga ila nitarudiNaona Leo mnapumzi pumzi mnakaribia 0000 .hrs
Au malizeni muondoke basi 🤕
Ndio ndioooooo hatuna muda😂😂Nyie ndio mnatunza vyanzo vya maji,safi sana
😅 Haya bwana ngoja tu take coverNaona Leo mnapumzi pumzi mnakaribia 0000 .hrs
Au malizeni muondoke basi 🤕
Tutahakikisha vipi kuwa unaenda kuoga wa kishuami naenda kuoga ila nitarudi
0000
jana mambo yalikua mengi sana, leo niko ila ndio hivyo niko busy kdgUtakesha lkn au mikwala kama ya jana🤣🤣
nitatoweka ndani ya dakika 2 na kurudiTutahakikisha vipi kuwa unaenda kuoga wa kishua
1102 hrs CAT0001 kivu
Mbinga ndani ndani huku, unakuja kama unaenda shimoni, unapanda na kushuka mabonde na milima hadi unakuja kuibukia kwenye Kijiji kinaitwa Kipapa.hiyo sentesi ya mwanzo sijaiona macho yanauma😎
oooh kwahiyo wew na wenyeji wako ni marastafaliani? wamatengo ni wapi kwanza 🤔
yuu tu0002hrs
Usiku mwema
kipapa cha samaki au sio😄Mbinga ndani ndani huku, unakuja kama unaenda shimoni, unapanda na kushuka mabonde na milima hadi unakuja kuibukia kwenye Kijiji kinaitwa Kipapa.
Ukienda kunawa miguu tu jenitatoweka ndani ya dakika 2 na kurudi
Sijajua ni Kipapa cha nini, ila ni Kipapa 😅😅kipapa cha samaki au sio😄