JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aisee kumbe sometime unaweza kukutana na feelings za kufa,nakumbuka like 2 weeks ago,nilisikia upande wa moyo kama kuna maumivu flan hivi yanakuja na kuondoka,sio sharp ila yapo kidazain flan hivi​


So nikasema nikienda jogging nibebe kabisa kitambulisho cha Nida incase naanguka na kurest in peace watu wasipate tabu kujua utambulisho wangu​


Sometimes tunapata mafeelings ya ajabu ajabu
 
😂 Kichekesho cha Leo
Mwalimu: “Kwa nini umechelewa shule?”
Mwanafunzi: “Nilikuwa naota niko shule, nikachelewa kuamka.” 😭😂
Mwalimu: “Na kwa nini hukuniambia mapema?”
Mwanafunzi: “Nilikuwa bado kwenye ndoto, Madam.” 🤣🤣
Moral: Usimpe mtu sababu nyingi, anaweza kugeuza hata usingizi kuwa assignment! 😂📚
 
Back
Top Bottom