JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kwa huyu hatokua na kazi sana.. anajua button yako ipo wapi .na nyimbo nzuri anakuimbiaga ...šŸ˜šŸ˜ Kesi nyepesi sana kwake goo Dosho goo Dosho!
hebu usimpe kichwa alf ukabaki na shingo atajidai sanašŸ˜†šŸ˜†šŸ˜† yani haiwezekani nijitolee kumsimulia kitu alf anijibu short tu et "sawa" akuuu bora nibaki na story yangušŸ¤—
 
Huku bwana sisi ni watu wa jogging sana,si asubuhi,mchana wa usiku,si vijana wazee wa mabinti au akina mama

Binafsi jogging nafanya mida ya 1900hrs au 2000hrs

Tunapenda kukimbia kwakweli,Goba ni jogging na jogging ni Goba na hakuna kitu mtatufanya
Ni goba zote au ni hiyo ya kwenu? Goba ipi kwanzašŸ˜…
 
Back
Top Bottom