Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,439
- 27,118
Tena tu afadhali maana ungetaka hata ikukaangie mayai na soseji daadekimi situmiagi inanishinda😄
Tena tu afadhali maana ungetaka hata ikukaangie mayai na soseji daadekimi situmiagi inanishinda😄
I'll try to my level best kuwakimbia😆😆Ulipo tupo home g. we are unkwepable..🤗🤗
Mimi huu mwezi wa pili sijaoga😅😅😅so kawaida tu shemela.lakini kwanini uniseme na kunicheka mbele za watu😔,, si unambie pole pole nitaelewa
Nahisi hivyo, hawajui umri huu bila wajukuu kutuletea Kiko babu zao tunaweza kufa kwa baridi 🤭Hatari sana mkuu,au ndio mbinu ya kukuweka mbali na wajukuu zako wa kike🤣🤣
na mimi namuangalia tu, asubiri siku moja nimuibukie hapo matosa tukazichape mpka ashangae😀😀😀Huwa anamatusi ya hapa na pale we mzingattie tu .🤣🤣🤣🤣 Via uchochezi
Ni kweli ukila nyama mwili hutoa harufu tofauti na usipokula na kama kweli ni kuna nyama specific like nyama nyekundu or nyeupe or zote zinaweza fanya hivyo?Kihusu nini aina za nyama au 😁
woiii wew ni shemele wangu kwaaa......?Mimi huu mwezi wa pili sijaoga😅😅😅so kawaida tu shemela.
Hiyo sijawahi kufatilia kabisaNi kweli ukila nyama mwili hutoa harufu tofauti na usipokula na kama kweli ni kuna nyama specific like nyama nyekundu or nyeupe or zote zinaweza fanya hivyo?
Si zuga tu kwa waja,ila kiasili ni wa kishua kabisawakishua wanauza matikiti sikuhizi si ndio😅 au umeamua kunitusi kisomi?
Utakesha lkn au mikwala kama ya jana🤣🤣karibuni kahawa,tutoe baridi la lindo
Kwa ndugu yangu dosho12 ...woiii wew ni shemele wangu kwaaa......?
miezi miwili bila kuoga? Yelewi kwani wew ni rasrafala maana hao ndo wanaugomvi na maji😅😅😅
nikimpata mwanasheria wangu utanikoma😆Si zuga tu kwa waja,ila kiasili ni wa kishua kabisa
Wanasema bwana Steve Job aliona kuoga ni kitu inampotezea muda so akaacha kula nyama ili asiwe anaoga😅😅😅Hiyo sijawahi kufatilia kabisa
Nyie ndio mnatunza vyanzo vya maji,safi sanaMimi huu mwezi wa pili sijaoga😅😅😅so kawaida tu shemela.
hiyo sentesi ya mwanzo sijaiona macho yanauma😎Kwa ndugu yangu dosho12 ...
Hapana Mimi ni Thecoder, huku kwa wamatengo baridi ni Kali sana so huwa hatuogi(sio Mimi tu ila naona hata wenyeji nao hawaogi) so ukienda Roma nawewe inakubidi uwe mroma so Mimi na wenyeji wangu tumefikia hapo😂😂
Kwa hyo jamaica wao kuoga wanaona tu kwenye tik tok 😁Wanasema bwana Steve Job aliona kuoga ni kitu inampotezea muda so akaacha kula nyama ili asiwe anaoga😅😅😅
Nae alikuwa miyeyusho kinoma🤣🤣Wanasema bwana Steve Job aliona kuoga ni kitu inampotezea muda so akaacha kula nyama ili asiwe anaoga😅😅😅
Ndiyo, ni kweli. Ulaji wa nyama nyekundu (kama vile nyama ya ng'ombe, mbuzi, au kondoo) unaweza kuchangia mwili kutoa harufu kali au tofauti ya jasho.
Hata hivyo, nyama yenyewe haina harufu mbaya inapoingia mwilini; mabadiliko haya yanatokana na jinsi mwili unavyoichakata na kuimeng'enya.
Sababu za Kisayansi
Utafiti maarufu wa kisayansi uliochapishwa kwenye jarida la Chemical Senses uligundua kuwa watu wanaofuata lishe ya mboga mboga (hawali nyama) walipimwa na kuonekana kuwa na harufu ya mwili inayovutia zaidi, yenye kupendeza, na isiyo na makali ikilinganishwa na wale wanaokula nyama nyekundu mara kwa mara.
- Umeng'enyaji Mgumu: Nyama nyekundu ina protini nzito na mafuta mengi ambayo huchukua muda mrefu kusagwa tumboni na kwenye utumbo. Mchakato huu unapoendelea, kuna mabaki ya asidi za amino na kemikali zinazoingia kwenye mfumo wa damu na kisha kutolewa nje kupitia tezi za jasho.
- Mwingiliano na Bakteria: Jasho linalotokana na usagaji wa protini hizi huwa na virutubisho vinavyopendwa sana na bakteria wanaoishi kwenye ngozi yako (hasa maeneo ya kwapani). Bakteria hawa wanapovunja virutubisho hivyo, huzalisha kemikali zenye harufu kali na ya kipekee.
- Hali ya "Meat Sweats": Ulaji wa nyama kwa kiasi kikubwa huongeza joto la mwili kutokana na kazi kubwa inayofanyika kuivunja (thermogenesis), hali inayomfanya mtu atoke jasho zaidi na kuongeza uwezekano wa kutoa harufu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣