Si nimekwambia ukweli hatuupendi na siuwezi? 😁🤣🤣🤣umeanza lini uongo homeG😄😄
senkiyuuu😍,, bora ukweli unao uma kuliko uongo unao farijiBravol..braveheart..
Mimi na watz wenzang hatuupendi..
and we can't handle the truth..
Ilikuwa zamani Maobey nini enzi hizo,now imeisha hiyo tunakaza but uswahiliniFake P ni wakishua hauoni hata muandiko☺️
aaah hii imekuaje kabla ya ile ndo maana nimeshindwa kujua😄😄😄Si nimekwambia ukweli hatuupendi na siuwezi? 😁🤣🤣🤣
nyama ya aina gani kwanza,,Steve job ili asioge😅😅😅... Maana wanasema ukila nyama mwili ukitoa jasho linatoka na harufu
Na mimi umenijumlishq kamanda,unataka ukamanda au hauutaki?Bravol..braveheart..
Mimi na watz wenzang hatuupendi..
and we can't handle the truth..
Tutalaaniwa kuiacha asili yetu...asili na sisi, sisi na asili.. sisi ni waongo na uongo is our business.🤣🤣🤣senkiyuuu😍,, bora ukweli unao uma kuliko uongo unao fariji
itabidi wew na watanzia wengine muanze kubadilika na muukatae uongo sio mzuri
mi situmiagi inanishinda😄Nyie mnaitumiaje AI? 🤗😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Na mimi umenijumlishq kamanda,unataka ukamanda au hauutaki?
lem start to fear you guyzzzzz, mnapatikana maeneo yapi zaidi ili niwakwepe😅😅Tutalaaniwa kuicha asili yetu...asili na sisi, sisi na asili.. sisi ni waongo na uongo is our business.🤣🤣🤣
Mbona ni kama unajitetea sana... Hata usipooga tangu jana sio dhambi😅😅😅nyama ya aina gani kwanza,,
mi sio kwamba sijaoga kuanzia asubuhi, yani ni saivi muda wa kulala ndo nawaza nikakoge au nivunge😄😎
Si uliniambia hujaoga 2 days now au siku hizi tumeanza kuongopeana, mswaki unapiga kabla ya kulala ila kuoga ndio kipengelenyama ya aina gani kwanza,,
mi sio kwamba sijaoga kuanzia asubuhi, yani ni saivi muda wa kulala ndo nawaza nikakoge au nivunge😄😎
wakishua wanauza matikiti sikuhizi si ndio😅 au umeamua kunitusi kisomi?Ilikuwa zamani Maobey nini enzi hizo,now imeisha hiyo tunakaza but uswahilini
Sasa wewe bado wa kishua na unaendelea na maisha ya ushuani
Ulipo tupo home g. we are unkwepable..🤗🤗lem start to fear you guyzzzzz, mnapatikana maeneo yapi zaidi ili niwakwepe😅😅
Huwa anamatusi ya hapa na pale we mzingattie tu .🤣🤣🤣🤣 Via uchocheziwakishua wanauza matikiti sikuhizi si ndio😅 au umeamua kunitusi kisomi?