Wa kishua kwa kudeka Deka hamjambomi nimesusa baada ya kunijibu "sawa"
umeanza maneno yako tajir wa goba😀😀Wa kishua kwa kudeka Deka hamjambo
Ma blazamen hawaamini macho yao.nahisi baridi sijui nilale tu bila kuoga😎 kwanza kuoga sana kuna maliza mwili
2332 hrs loud and clear...2329hrs
"A million dreams is all it's gonna take a million dreams for the world we're gonna make"
😀😀 kwan hawataki mtu anaesema ukweli😎Ma blazamen hawaamini macho yao.
Je wewe wa kishua kwanza au mtu.poriTupate wapi na sisi wakuwaendesha hivi...🤣🤣🤣
Wewe unaupenda ukweli?😀😀 kwan hawataki mtu anaesema ukweli😎
naomba nimjibie 🙋♀️Je wewe wa kishua kwanza au mtu.pori
Wataalamu wanasema kuoga si lazima kama unalala mwenyewe,ni matumizi mabaya ya majinahisi baridi sijui nilale tu bila kuoga😎 kwanza kuoga sana kuna maliza mwili
ndio naupenda kwa moyo wangu wote💃💃Wewe unaupenda ukweli?
Ushua si mjini tu vijijini hatukua na hizo story 🤗🤗 mtu poriporiJe wewe wa kishua kwanza au mtu.pori
Mjibie baby girl cha fujonaomba nimjibie 🙋♀️
wew ndo unanifaa shem ake sa namuoges nani wakati hata shamba sijaendaWataalamu wanasema kuoga si lazima kama unalala mwenyewe,ni matumizi mabaya ya maji
umeanza lini uongo homeG😄😄Ushua si mjini tu vijijini hatukua na hizo story 🤗🤗 mtu poripori
Bravol..braveheart..ndio naupenda kwa moyo wangu wote💃💃
Steve job ili asioge😅😅😅... Maana wanasema ukila nyama mwili ukitoa jasho linatoka na harufunahisi baridi sijui nilale tu bila kuoga😎 kwanza kuoga sana kuna maliza mwili