JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

23:00

We chokoraa leo huonekani🤔
D1284B77-B3FE-4E40-9885-2BB7162D88FC.jpeg
 
Mi naona ilikuwa vizuri tu ila Ukiboresha utanitumia link
Yeah ilikua vizuri ila shida ni kwamba ilikaa kiblog so haikua na utofauti na platforms zingine licha ya kwamba mule kulikua na special room kwa students, ila now nimeongeza hizo contents ila pia article zinaweza kuchange kwenda kwenye audio na pia nataka simulizi ziwe kwenye audio pamoja na animation videos so mtu atakua anachagua anataka kusoma, kuskiliza au kutazama, ila pia awali ilikua kwenye zile contents zinazouzwa pesa inapitia kwangu before imfikie writer now inakua kwenye dashboard yake so akitaka kuwithdraw anatuma request then tunaapprove pesa inaingia kwenye njia aliyochagua apokelee hiyo pesa.
 
Back
Top Bottom