Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,586
- 16,913
.waaaaaw..😊😊 Leo tupo doria mtandaoni na mkubwa mafwefwe..Ok, leo lindo wapi nije tulinde wote
.waaaaaw..😊😊 Leo tupo doria mtandaoni na mkubwa mafwefwe..Ok, leo lindo wapi nije tulinde wote
maisha ya uswazi sana mi sijawahi kuyaishi naishiaga kusimuliwa au kuyaona kweny tv mara chache chache,,standard life, ila kuna walio chini, mie nina bahati moja ya kuishi kwenye..sana na kwenye...kiasi..lakini nimekua nashinda sana karibu kila siku uswazi ,huko watu hali mbaya
kambi ilikua kijiji cha mazami (kama sijahau vzr ) karibu na sehemu inaitwa nyakhanga (nadhani) ,tulifika shule ya chief ihunyo sijui ipo hii na nyingine sikumbuki jina, hiyo ilikua 2004Wilaya gani mkuu
watu wanajiamlia mambo tu😅Pretty...🤕🤕 Mpk boss anashtuka Yani daah
ndio maana tukasema wewe wa kishua?maisha ya uswazi sana mi sijawahi kuyaishi naishiaga kusimuliwa au kuyaona kweny tv mara chache chache,,
ila maisha duni nimeyaona enzi za shule wakati nipo field kuna watu walikua wanakuja kujitaji kuduma na pesa hawana yani dah sijui nisemaje ila ndo hivyo njaa ipo ukweli ukweli
nikwambie huo mwaka nilikua wapi? au nitulize ball maana sijaulizwa😅kambi ilikua kijiji cha mazami (kama sijahau vzr ) karibu na sehemu inaitwa nyakhanga (nadhani) ,tulifika shule ya chief ihunyo sijui ipo hii na nyingine sikumbuki jina, hiyo ilikua 2004
🤣🤣🤣 Hawa ni past present Continous... Tunaishi nao hivi hivowatu wanajiamlia mambo tu😅
niambie ulikua wapinikwambie huo mwaka nilikua wapi? au nitulize ball maana sijaulizwa😅
huyu😏ndio maana tukasema wewe wa kishua?
hahahahahaha,hayahuyu😏
hebu tuachane nayo tu
niahidi hauto shtukaniambie ulikua wapi
walaniahidi hauto shtuka
sawa dada ake😄😄🤣🤣🤣 Hawa ni past present Continous... Tunaishi nao hivi hivo
ni mwaka nilo achishwa kunyonya ziwa na mama angu😜wala
kwenye friji zimeisha, masai nje atahusika akalete hata 3 zingine na viazisawa dada ake😄😄
Kwahiyo watu wa mara sio wa kishua,Fake P umemsikia huyu mwamba lakinUyu asikudanganye kwamba ni wakishua mtu wa mara uyo
hahahahahaha,bado we mbichi kabisani mwaka nilo achishwa kunyonya ziwa na mama angu😜
natania😅😅😅
Sijui Mimi uwa ni prophet kiukweli naquon live unavyo vutiaPretty...🤕🤕 Mpk boss anashtuka Yani daah
Unataka watu wakimbie bure kamanda🤣🤣🤣.waaaaaw..😊😊 Leo tupo doria mtandaoni na mkubwa mafwefwe..