Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 2,004
- 6,768
Uyu asikudanganye kwamba ni wakishua mtu wa mara uyokawaida sana ,kweli wewe wa kishua
Uyu asikudanganye kwamba ni wakishua mtu wa mara uyokawaida sana ,kweli wewe wa kishua
hahahahahaha,dah si mchezoWewe deal na watoto wa sekondari! Ukimhonga 5k anakuona pedeshee
mtu wa mara hawezi kuwa wa kishua?Uyu asikudanganye kwamba ni wakishua mtu wa mara uyo
sawa ngoja tuonehahahaa,siwezi kumficha kama yupo
kwa style hii utasubiri sana,Rafiki hutoona maana hayuposawa ngoja tuone
sa kwanini umenipa mtihani mgumu kama unajua hayupo?kwa style hii utasubiri sana,Rafiki hutoona maana hayupo
tushazoea kuchinja chinja😅😅😅mtu wa mara hawezi kuwa wa kishua?
dah,samahanisa kwanini umenipa mtihani mgumu kama unajua hayupo?
waambie na wew😅😅Uyu asikudanganye kwamba ni wakishua mtu wa mara uyo
ma binti wa mara wazuri sana, niliwafika mwintongotushazoea kuchinja chinja😅😅😅
mi sio nimetokea familia ya kawaida sio ushuani wala sio chini sanakawaida sana ,kweli wewe wa kishua
Ndy inategemea anatokea wilaya ganimtu wa mara hawezi kuwa wa kishua?
vzr hizo ni karibu wotemi sio nimetokea familia ya kawaida sio ushuani wala sio chini sana
ni wapi kwanza? I mean wilaya gani ofcoz ni warembo inategemeana na mtazamo wako tuma binti wa mara wazuri sana, niliwafika mwintongo
makubwa😅Ndy inategemea anatokea wilaya gani
ok ndo hivyovzr hizo ni karibu wote
kipindi sec nilikua volunteer shirika moja hv la denimaki, tulifika mara kule kwa wanchori sijui,mmhNdy inategemea anatokea wilaya gani
standard life, ila kuna walio chini, mie nina bahati moja ya kuishi kwenye..sana na kwenye...kiasi..lakini nimekua nashinda sana karibu kila siku uswazi ,huko watu hali mbayaok ndo hivyo
Wilaya gani mkuukipindi sec nilikua volunteer shirika moja hv la denimaki, tulifika mara kule kwa wanchori sijui,mmh