Kident cha Chuo,kilipata kaswende,kimepiga 3some na gay men
Watoto wa chuo kama kawaida yao,huanza maisha ya kupika na kupakua kama mke na mume mapema kabisa ,haya mambo yapo sana karibia vyuo vyote,anyways wasituchoshe it's their business
So wapenzi hawa walikuwa kwa road wanafanya evening walk, ndio host wa show akawa spot na kubonga nao
Wanasema wote wawili wanakaa hostel, ila sometime chalii anakwenda sleep over kwa manzi na manzi anaenda sleep over kwa chalii,sometime wanakaa pamoja
Walipo ulizwa nyie ni wanafunzi inakuwaje binti ukipata mimba? Binti akajibu tutaplani ile itakuwa,au tutawaomba wazazi hela tufanye business,ndio host akawa chomekea yani wazazi walipe ada kuwasomesha na wawape hela ya biashara tena,wakasema watawaongezea tu,kwakuwa nao wanasave
Wakaulizwa mara ya mwisho lini kucheki afya zenu kama couple,wakasema hawajapima,binti akaulizwa je ukipata nagonjwa utamlaumu nani? Akajibu hatamlaumu mtu coz wanaaminiana na wameunganishwa na mapenzi
Kama kawaida host huwapa challenge kwa kuanza kuwapa ofa ya jambo fulani lakini itabidi nao walipie gharama, nayo si nyingine ni royalty test
So akawapa dau kwenda KFC kula kuku wa kutosha tu,lakini sharti wote wasikutwe na mpango wa kando
Chalii akasema hana shida simu yake ipo clean,ila host akasema ladies first,akachukua simu ya manzi,na kuipitia,akasema ngoja ikae pembeni kwanza,tayar alisha spot kitu,akachukua ya chalii
Pekua hapa na pale ikakutwa ipo clean,nadhani wasomaji wangu wale ambao mnanisoma mpaka sasa kufuatia machapisho yangu, mnafahamu ni mwanaume mmoja tu mpaka sasa ameharibu CV lakini ladies ni kama wote,hapa tunajifunza kwamba hii jinsia ndio big players
So ikawadia point ya host na chali kwenda pembeni kusoma meseji
Ikakutwa meseji kutoka kwa mzungu ambaye ni shoga anamwambia manzi waende wakutane sehemu fulani ,aje na coke,au kinywaji kingine au na weed/bangi au cocain
Halafu meseji nyingine,manzi anamwambia huyo shoga kwamba " pamoja na kwamba wewe ni shoga lakini usijali tutaendelea tu kuwa marafiki kwasababu hata utotoni nilikuwa na marafiki mashoga wengi"
Meseji nyingine manzi anamwambia huyo mzungu shoga kwamba " aliinjoi sana vile alivyokuwa anampanishi kwenye balcony ya mountain view ingawa ako anafeel pain kidogo kwa ass" akasendelea kusema "si unajua ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kufanya hivyo"
Meseji nyingine kutoka kwa mzungu inasema akireply kwa manzi " nilifikir unasema bado utakuwa na pain kumbe uliinjoy"
Mzungu akamtext kumwambia next weekend uje,manzi akajibu "naona next weekend ni mbali coz nipo tu hapa sina cha kufanya,nitakuja hata jumanne" manzi kaendelea kusema " tayarisha vyakula kwenye friji si unajua nilivyo na appetite ya kula"
Manzi akaendelea kusema "tayarisha hizo lube/vilainishi kabisa"
Baadae inaelekea baada ya kukutana,manzi anaeleza kwenye meseji kwamba " baby hope hujamind ulivyolewa rafiki yako alinifaki"
Mzungu shoga akajibu " wala usijali yule ni mwanaume wangu,ni wewe tu unaruhusiwa kushea nami" kisha manzi akasema alitest akakutwa na kaswende,kuna vitu huyu demu ambaye sasa tumuite mbwa alisema ila sitavitaja coz itakuwa kama. napromote huu ujinga
So,ikawadia segment ya host na chalii kwenda kwa manzi kumpa majibu ya simu yake na kuulizwa maswali
Kwanza host wa show alimwambia chalii,unaona sasa utaamua kusoma au kuendekeza huu ujinga,chalii kama aliafikiana na host kiaina hivi
Wakaenda kwa demu,chalii akamuuliza mpenzi ni nini hivi umefanya,halafu hapo chalii akakumbuka siku ambayo alitaka kuichapa ndio siku ambayo manzi alisema kwenye text kwamba anafeel pain kidogo kwa ass,so alitoka kusmashiwa ndio maana mwamba alivyotaka kuichapa akachomolewa, boys sijui kama mnachukua notes hapa.
Kibaya zaidi chalii alifungua code kwamba demu wake alimsema mbele ya marafiki wa demu kwamba yeye ndio alikuwa amemuambukiza bibie kaswende,kumbe manzi ndio aliutoa huko kwa 3some zake
So manzi alijetetea kuwa alifanya huo ujinga coz ako na situation nyumbani ilikuwa inampa stress,jamaa yake akamwambia kwanini hukuniambia,demu anabaki tu baby nisamehe baby am sorry
Sasa kubwa kuliko zote in the name of money,demu alimwambia huyu chalii kwamba atamtoa out,,Guess what?
Kumbe alikuwa atoke na demu wake kwamaana demu anamtoa out bwana wake,kumbe lengo lilikuwa bwana wake akaleweshwe huko alafu wamfi..........hope mmenipata wakubwa
Hayo ndio madhara kuthamini hela kupita kiasi,yani alikuwa anaenda kumuuza boyfriend wake mchana kweupe
View: https://youtu.be/CtasCU4l4vE?si=Rf7WnviZoprTtTf3
Neno langu la mwisho kwa young men especially nyie mnaeonda vyuoni,muwe makini sana,wengi mkiwa kule mnapata uhuru sasa wa kufanya mambo yenu,lakini mjue dunia ina mambo mengi,hope mmejifunza kitu
Alamsiki!