Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,732
- 124,892
Mapema tuu kesho naenda kuwauzia chenchi makonda š„Kalale kesho kibaruani utagawa mno mashamba nyau wewe!
Mapema tuu kesho naenda kuwauzia chenchi makonda š„Kalale kesho kibaruani utagawa mno mashamba nyau wewe!
Onyesha niliposema hayo manenoUnipe niende lnalo wapi? Var inakudhalilisha we mtoto wewe!!
Ukumbuke kuoga tumechoshwa na harufu zenušµāš«Mapema tuu kesho naenda kuwauzia chenchi makonda š„
Sioneshi nipeleke polisiOnyesha niliposema hayo maneno
Kumbe lisaa moja mbele yenu11:08
Johannesburg
Poa karibu utatukuta hapa..Kumbe lisaa moja mbele yenu
October niko hapoš
Asante sana!Poa karibu utatukuta hapa..
Mpe hi mama ake Shes š2200hrs
lilongwe,Malawi
Unakuja Jhb au mji gani?Asante sana!
Petroria.Unakuja Jhb au mji gani?
Ok pamoja tutawasiliana..Petroria.
Haina noma mkuu.Ok pamoja tutawasiliana..
Kakojoe ukalaleSioneshi nipeleke polisi
Sema ulaze kitambi00.33
Nilaze utumbo wangu sasašµ
Njoo ulambe šUkumbuke kuoga tumechoshwa na harufu zenušµāš«