JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Chokoraa tunajua kukamua maji ya uzima ya wanawake, try me 😎
Umesamehewa dhambi zako!
E8EF7A4F-D216-497C-979B-9710B30A3DD9.jpeg
 

2200hrs​


lilongwe,Malawi​

Daah nilipita hapo wiki moja iliyopita nilikua na Benz moja mashine sana mteja wa Harare nilimuagizia kutoka Japan ile mashine inaruka aisee nilipita Mwanza border hawana computer wala nini wanaandika majina kwenye karatasi na kugongewa passport nikaelekea Nyamapanda border na kuacha gari Harare hapo baadae nikachukua bus la Swiss mpaka JHB city..
 
Back
Top Bottom