win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,122
- 31,052
jamni shem😟 lile loli lilikua la matikiti sikutaka kuacha mzigo wenyeweNina boda ya umeme,natest chaji yake inakaa muda gani,itakapo zima nitapanda lorry kama wewe
jamni shem😟 lile loli lilikua la matikiti sikutaka kuacha mzigo wenyeweNina boda ya umeme,natest chaji yake inakaa muda gani,itakapo zima nitapanda lorry kama wewe
Usikute now kila mtu kalala mzungu wa nne,we kuwezahii ujiambie wew, maana wenzako wote wapo wanabembelezana huko bt look at you now upo unakesha poor you😅
kwanini ulale mzungu wa nne? si bora tu uwe singo mwanetu🤣Usikute now kila mtu kalala mzungu wa nne,we kuweza
Hizi nyumba zinaficha mengi sana shem,kuna watu wanaishi mpaka miezi mitatu mtu hajashika hata paja🤣🤣kwanini ulale mzungu wa nne? si bora tu uwe singo mwanetu🤣
Tatizo unaagiza matiki kidogo kidogo chukua mzigo mkubwabora hata weekend inakaribia, hii wiki ilikua nzito mno dadeq
nawaonea huruma kwa kweli, Mungu aniepushe maana nahisi nitapagawa, siwezi kukaa na mtu nyumba moja alf tusisemeshane achilia mbali kugusa😟Hizi nyumba zinaficha mengi sana shem,kuna watu wanaishi mpaka miezi mitatu mtu hajashika hata paja🤣🤣
nipe mtaji shem uone kama sijashusha fuso😅Tatizo unaagiza matiki kidogo kidogo chukua mzigo mkubwa
sogea sogea mpka hapa mbuyuni alf unambie nije kukashuhudia kwa macho yangu2334hrs
Shem hapa kapikipiki kana spidi sana now
Mbezi,tangi bovu
Kitanda changu cha baridi mkuu, njoo ukipashe joto.kwanini ulale mzungu wa nne? si bora tu uwe singo mwanetu🤣
Ni kweli shem inaumiza sana kwakweli,kuna watu wapo na wapenzi au ndoa lakini wapweke sana shem,omba upate utakaye fanana naenawaonea huruma kwa kweli, Mungu aniepushe maana nahisi nitapagawa, siwezi kukaa na mtu nyumba moja alf tusisemeshane achilia mbali kugusa😟
Umefeli shem ungenipa location mapema now niposogea sogea mpka hapa mbuyuni alf unambie nije kukashuhudia kwa macho yangu
sikuhizi nauza moto si ndio mshambaKitanda changu cha baridi mkuu, njoo ukipashe joto.
nishampata tayali labda kama atabadilika huko mbeleni ila kwa saivi nina amaniNi kweli shem inaumiza sana kwakweli,kuna watu wapo na wapenzi au ndoa lakini wapweke sana shem,omba upate utakaye fanana nae
si ugeuzeUmefeli shem ungenipa location mapema now nipo
Goba,kwa ulomi
We njoo kuna zege, kidari na pepsi.sikuhizi nauza moto si ndio mshamba
shenzi wew🤣🤣🤣 kwanini mambo ya kule unayaleta huku?,, saivi situmii hivyo vitu ni mwendo wa majani kama mbuzi😄We njoo kuna zege, kidari na pepsi.
Am happy for you shem wangu, ukipata mnayeendana sawa mbona kila siku ni sikukuu,hope hatobadilika shemnishampata tayali labda kama atabadilika huko mbeleni ila kwa saivi nina amani
I believe so,,Am happy for you shem wangu, ukipata mnayeendana sawa mbona kila siku ni sikukuu,hope hatobadilika shem