win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,126
- 31,058
mara ya mwisho niliambiwa siwezi kujitwika gunia la mahindi si nikasema acha niamini kwenye uwezo wangu aseee sielewi ni nini kilitokea ila nilipozinduka nilijikuta hospital na drip ya glucose juuUsikubali mtu akwambie huwezi jambo fulani,amini katika uwezo wako