win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,133
- 31,158
we unahisi kuchukua 50 ni rahisi hivyo? ningekua nishachukua kitambo tu sema ndo hivyo ni mixer mtanga na mmakonde uno lote anapiga yeye😪Apo kwa experience yangu wewe chukua 50 pita hivi
we unahisi kuchukua 50 ni rahisi hivyo? ningekua nishachukua kitambo tu sema ndo hivyo ni mixer mtanga na mmakonde uno lote anapiga yeye😪Apo kwa experience yangu wewe chukua 50 pita hivi
Imeisha hiyo homie I'm out ✌️Okay najua wewe ni msweet sana how come ugombane na watu,ila ndo hivyo si kila mtu atakupenda
Huyo mtu ni nani bibie ebu nidokeze nimfokeeHapana naenda sawa na kila mtu labda huyo mtu ndiyo asiende sawa na mimi 😅
Toka mwanzo hukuwa wa level zake ila umemvumilia, akitoboa ndo mnakuwa level sawa😄akitoboa anamchukua wa level yake sio mimi tena😥
yeye katulia tuli ila mimi ndo nachachafya kama mfa maji😅Nashangaa na ujanja huo shem imekuwaje mtu wako anakuchachafya shem
hebu fafanua kabla sijakularuaaaa😅Toka mwanzo hukuwa wa level zake ila umemvumilia, akitoboa ndo mnakuwa level sawa😄
Naunga hojaNashangaa na ujanja huo shem imekuwaje mtu wako anakuchachafya shem
Take care homie,byeImeisha hiyo homie I'm out ✌️
Akitoboa ndo mnakuwa mmelingana level, maana kwa sasa yeye sio wa level zako 😁hebu fafanua kabla sijakularuaaaa😅
SijuiHuyo mtu ni nani bibie ebu nidokeze nimfokee
Mimi naweza kupaa, unaamini hilo 😁Usikubali mtu akwambie huwezi jambo fulani,amini katika uwezo wako
akitoboa anaenda kwa mwanamke wa ndoto zakeAkitoboa ndo mnakuwa mmelingana level, maana kwa sasa yeye sio wa level zako 😁
Kukubali kuwa kuna jambo huwezi, sio unyonge, ni kujitambua 😎Usikubali mtu akwambie huwezi jambo fulani,amini katika uwezo wako
Nini kimekusikitisha mkuuInasikitisha sana
Je kama wewe ndio mwanamke wa ndoto zake, jamaa anazunguka mitaani akutaftie wigi 😁akitoboa anaenda kwa mwanamke wa ndoto zake
Hiyo ni torati kwa rijali yoyoteakitoboa anaenda kwa mwanamke wa ndoto zake
Hii oksijeni nayovuta 😎Nini kimekusikitisha mkuu