JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

jirani mi nina tumbo dogo, nimekula plate mbili tu za wali maharage na nyama nikashushia jagi zima la juice ya parachichi hata sijui hii uvimbe imetoka wapi wakati sijala sana😭
Na ukila sana unapiga kama plate ngapi hivi😁 maana plate mbili za wali maharage na nyama na jagi zima la juice ndo kula kidogo😅
 
Back
Top Bottom