Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,484
- 16,511
Tuambie vizuri baba yake ni mfanyakazi kiwanda Cha magodoro au Mtaalam wa dawa za usingizi propofol 🤣🤣Nalala mara 3 kwa siku na kila mara nalala kama sijalala siku hiyo.
Usiku mwema🫶
Tuambie vizuri baba yake ni mfanyakazi kiwanda Cha magodoro au Mtaalam wa dawa za usingizi propofol 🤣🤣Nalala mara 3 kwa siku na kila mara nalala kama sijalala siku hiyo.
Usiku mwema🫶
ndio shem wangu karibu niungishe mara moja moja basi😊Leo una mzigo mpya shem darling
Kwahiyo mwamba hana hata moja🤣🤣
miss you zaidi shem ake😘,,,, jana nilikua hovyoooooo,, hapa enyew nataka niwahi kulala nimechoka hatariAkina nyie hao shem wangu,,miss you bhana naona jana kama tulitegetea lindo hivi 🤣🤣😘
Huu ni usiku wa manane kweli?
Umefanywaje tena bibieemiss you zaidi shem ake😘,,,, jana nilikua hovyoooooo,, hapa enyew nataka niwahi kulala nimechoka hatari
Akikujibu nitag 🤣🤣Tuambie vizuri baba yake ni mfanyakazi kiwanda Cha magodoro au Mtaalamu wa dawa za usingizi propofol 🤣🤣
kufanywa niniUmefanywaje tena bibiee
Bado mapema sanaHuu ni usiku wa manane kweli?
Kana nke wabha au wakunguha sana nsiko chino 😂😪miss you zaidi shem ake😘,,,, jana nilikua hovyoooooo,, hapa enyew nataka niwahi kulala nimechoka hatari
huyo shem wangu yupo uturuki ndo maana anachanganya mambo😅Huu ni usiku wa manane kweli?
Asituone watoto sisi eti...Akikujibu nitag 🤣🤣
tantigha sokoro😅😅😅Kana nke wabha au wakunguha sana nsiko chino 😂😪
Nashindwa kuwelewaa jana ulikua ovyo na Leo umechoka 😁Bado mapema sana
Hajui tunasoma code vizur sana tu daadekiAsituone watoto sisi eti...
🤣🤣🤣 Ndio maana amekaa ki mamtoni mamtoni eeh.. au mamtoni ni america tu🤣?huyo shem wangu yupo uturuki ndo maana anachanganya mambo😅
Duuuh sokoro tena, wewe ni mtu wa maratantigha sokoro😅😅😅
Itakua na wenyewe walikua mamtoni wengi kama wewe mkuu🤣🤣🤣🤣Si afadhali sisi tunaamsha uzi saa hizi, DaVinci walikuwa wanaasha uzi kuanzia saa kumi jioni 1600hrs