JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ertugrul Bey win-one Fake P ShesRise_1 hebu toa ufafanuzi hapa usitumie AI tumia uelewa wako

Kesho kidunia ipoje?
Tunaambiwa muda wa Tokyo upo mbele kuzidi wa Dar hivyo, sasa Tokyo ni kesho Dar ni leo, maana yake mtu wa Tokyo anayajua yaliyoyokea kesho?

Kama hajui basi hio kesho ni ya kwenye kalenda tu na sio kesho halisi kote Dar na Tokyo ni leo lakini kisaa na kikalenda ni kesho?

Tokyo 05:16AM 19th August 2026, tomorrow
Dar es Salaam 11:16PM 18th August 2026, today
 
kiukweli ikifika usiku akili zangu huwa hazifanyi kazi ya kufikiri kwa kina🥴 ngoja hao wengine walete majibu
 
Ertugrul Bey win-one Fake P ShesRise_1 hebu toa ufafanuzi hapa usitumie AI tumia uelewa wako

Kesho kidunia ipoje?
Tunaambiwa muda wa Tokyo upo mbele kuzidi wa Dar hivyo, sasa Tokyo ni kesho Dar ni leo, maana yake mtu wa Tokyo anayajua yaliyoyokea kesho?

Kama hajui basi hio kesho ni ya kwenye kalenda tu na sio kesho halisi kote Dar na Tokyo ni leo lakini kisaa na kikalenda ni kesho?

Tokyo 05:16AM 19th August 2026, tomorrow
Dar es Salaam 11:16PM 18th August 2026, today
Naam kwanza Asante kwa kuleta changamoto ili amsha amsha iwe muda wote

Kiukweli hiyo kesho ni kwenye kalenda,kiuhalisia tuna siku mbili tu

Jana na leo tu basi, jana tuliiona na leo tunayo,kesho ni tarehe au habar ya kalenda tu
 
Tumekaaa zetu tumetulia mtu unaamua kutaka kuanza kutuchosha akili. Toka Asubuhi ulikua wapi lakini?
 
Naam kwanza Asante kwa kuleta changamoto ili amsha amsha iwe muda wote

Kiukweli hiyo kesho ni kwenye kalenda,kiuhalisia tuna siku mbili tu

Jana na leo tu basi, jana tuliiona na leo tunayo,kesho ni tarehe au habar ya kalenda tu
Mimi naamini tuna LEO tu kesho na jana hazipo

Kila leo ina jana na kesho yake, hivyo leo pekee ndio halisi
 
Back
Top Bottom