ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,628
- 75,789
Hatudanganyi kitu! Alipolala yeye sisi ndo tumeamkiaAjibu taratibu judge ninaandika, hili swali sio la hapa na pale..😂😂
Hatudanganyi kitu! Alipolala yeye sisi ndo tumeamkiaAjibu taratibu judge ninaandika, hili swali sio la hapa na pale..😂😂
Nakuaminia super woman wangu! Ila lazima ulipewa hata ya nauliila mshauri dah😅😅,, sijapewa ila nimeji gharamikia,, mimi ni super woman😜
Mama wa kiafrica halisi huyusindio😅 ni kama anapima kina cha maji je yamo au namna gani😆
Na ubaya wetu wote ila sisi sio bikra!Nyie mnaokesha mna sura za baba nyie. Wanawake warembo wapo huko na bebez wao wanabarizi.
Wanaume tuna huruma sana.Na ubaya wetu wote ila sisi sio bikra!
tena yule ambae utandawazi umempita kushotoMama wa kiafrica halisi huyu
Tumeficha mapanga siku hizi.. welcomeNyie mnaokesha mna sura za baba nyie. Wanawake warembo wapo huko na bebez wao wanabarizi.
nauli yenyewe mia 8😪 hebu niache kidogoNakuaminia super woman wangu! Ila lazima ulipewa hata ya nauli
Superwoman ni full loaded ... Nauli kitu ganiNakuaminia super woman wangu! Ila lazima ulipewa hata ya nauli
Usijifungie ndani twenzetu out.Tumeficha mapanga siku hizi.. welcome
hebu mueleze vizuri ni kama anaji sahaulishaSuperwoman ni full loaded ... Nauli kitu gani
Age goo.. nitasinzia tu muda wote niwe nimeharibu hela yako🤣Usijifungie ndani twenzetu out.
Twende tukale bata mpaka kuku waone wivu.😊
Mshauri anaweka vimitego uchwara..hebu mueleze vizuri ni kama anaji sahaulisha
Ila wewe, age go unaijua? thirty something ni age go?Age goo.. nitasinzia tu muda wote niwe nimeharibu hela yako🤣
Hapana mwenetu,hapo kulikuwa na kubadiilishana energy halafu kibaya zaidi hata husemi sasandio zipo tena nyingi mno😎
Nimekasirika mpka nimescreenshot picha nitume hapa unipe heshima yangu .Ila wewe, age go unaijua? thirty something ni age go?
hapo ndo uko kileleni, asali imeiva😋
Usiweke wingi kwamba tulionjoy,sema niliinjoy sana,unaweka wingi ili ujitetee kwamba haikuwa zaidi ya partymnooo tuliienjoy sana watu wanakula maisha sio poa asee
Nitumie nikuone mrembo.Nimekasirika mpka nimescreenshot picha nitume hapa unipe heshima yangu .