JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kukutana na wanajf kuna vibe lake. Kuna siku tumekutana members watatu halafu wote hatujuani id zetu. Ilikua moment nzuri sana maana lile vibe utafikiri washkaji wa siku nyingi kumbe ndio mara ya kwanza kuonana hatujuani hata majina
Hujataka kujua wewe nani na wewe nani anyway piga mziga mkuu hata mwenyewe
 
Back
Top Bottom