JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

winnone fucking the world😎
I used to cherish that saying with my little brother Intelligent businessman but now sijui yu wapi ? Na anaendeleaje huko alipo .
Ila maombi yangu awe salama na Allah ampe ustahimilivu na wepesi kwa kila jambo analopitia .
Zaidi akirudi mwambie baba yake wa hiyari yuko hoi bin tabaani ,wa leo wa kesho hivyo amuweke kwenye dua .
 
mara ya mwisho alisema anaumwa na aliniahidi kurudi akipata unafuu ila mpka saivi sijui chochote kuhusu yeye ila bado namsubiri ni matumaini yangu yuko salama huko aliko

mpe pole huyo baba yake wa hiyari naamini ataku sawa japo umenifanya nihuzunike😔,, bt ni nani?
 
Back
Top Bottom