mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,801
Dogo jau sana.mi pia sijui simu ime ji type
Dogo jau sana.mi pia sijui simu ime ji type
Pata na propofol na midazolam kuna watu inabidi wasaulishwe huu uzi kwa muda ili kesho tuendelee kuhangaika na wenye shida ya usingizi wengine sio hawa wa leohili limeisha, sema kingine boss kubwa
you tooDogo jau sana.
Exactly Amani ya akili ndio muhimu"Kill the Energy" imenikumbusha kitu kimoja—amani ya akili ni muhimu kuliko mabishano yasiyo na faida. Tuendelee na vibe za usiku. 🌙
😂 Basi kila mtu na amani yake. Wengine wanapumzika kwa ukimya, wengine wanachaji betri kwa mabishano—mradi tu yabaki ya hoja, si ya ugomvi.Wengine amani yetu ipo kwenye mabishano.
You more.you too
😅😅 mfano naniPata na propofol na midazolam kuna watu inabidi wasaulishwe huu uzi kwa muda ili kesho tuendelee kuhangaika na wenye shida ya usingizi wengine sio hawa wa leo
senkiyuuu bloodfoolYou more.
Mimi nimeacha masomo ili niwe hapa bila kukosa🤣🤣Nimeacha kazi Serikalini ili nifuatilie huu uzi.
Siwataji hapa ,watanikimbia kabla sijawatibu😅😅 mfano nani
😅 Huyo "mshamba" unayemsema sijui ni nani, ila mimi nipo naomba nisihukumiwe kabla ya usaili. 😂😂 Basi kila mtu na amani yake. Wengine wanapumzika kwa ukimya, wengine wanachaji betri kwa mabishano—mradi tu yabaki ya hoja, si ya ugomvi.
Huku hatutaki msikitiko rudi fesibukuInasikitisha sana
🤣🤣 sawa imeisha hiyoSiwataji hapa ,watanikimbia kabla sijawatibu
Mke nataka shida ni kuwa sitoweza kumtimizia mahitaji.Exactly Amani ya akili ndio muhimu
Soree umeoa natafuta mume mshamba_hachekwi hataki
Kanisemee kwa babaangu 😎Huku hatutaki msikitiko rudi fesibuku
Maitaitaji gani hii 🍆huna ?🤣🤣Mke nataka shida ni kuwa sitoweza kumtimizia mahitaji.
You're such a crybaby.senkiyuuu bloodfool
hauna nguvu za kiume au?Mke nataka shida ni kuwa sitoweza kumtimizia mahitaji.