Mawazo255
JF-Expert Member
- Jul 27, 2026
- 241
- 679
😅 Huyo "mshamba" unayemsema sijui ni nani, ila mimi nipo naomba nisihukumiwe kabla ya usaili. 😂Exactly Amani ya akili ndio muhimu
Soree umeoa natafuta mume mshamba_hachekwi hataki
😅 Huyo "mshamba" unayemsema sijui ni nani, ila mimi nipo naomba nisihukumiwe kabla ya usaili. 😂Exactly Amani ya akili ndio muhimu
Soree umeoa natafuta mume mshamba_hachekwi hataki
that's my nickname😊You're such a crybaby.
Sisemi nina kifua😅Kanisemee kwa babaangu 😎
Kwani hiyo ni nini?Maitaitaji gani hii 🍆huna ?🤣🤣
Tawire 🤝Sisemi nina kifua😅
Huu ni ukuni wenye kikofia kwa juuKwani hiyo ni nini?
Nifahamishe henda na Mimi nikawa sina hiyo.
IgweeeTawire 🤝
Ebu weka CV yako hapa😅 Huyo "mshamba" unayemsema sijui ni nani, ila mimi nipo naomba nisihukumiwe kabla ya usaili. 😂
😄 CV yangu fupi tu:Ebu weka CV yako hapa
Hela ndo sina jamaniMaitaitaji gani hii 🍆huna ?🤣🤣
Dogo unanipimia?hauna nguvu za kiume au?
nataka nikusaidie hiyo changamoto yako bruh sijauliza kwa ubayaDogo unanipimia?
1 Ukorofi kilo moja na nusu✔️😄 CV yangu fupi tu:
- Mwaminifu ✔️
- Mcheshi kiasi, si wa kelele 😅
- Anapenda amani ya akili ✔️
- Mvivu wa ugomvi ❌
- Mtaji bado unatafutwa, ila moyo upo kazini. 😂
Sasa zamu yako, vigezo vya mwombaji ni vipi? 😄
Kumbe umejijua vizuri kabisa. Sasa baki mwaminifu, hasira zipungue kidogo, mengine maisha yatafundisha. 😄👌1 Ukorofi kilo moja na nusu✔️
2 Hasira ndoo na kisado ✔️
3 mwaminifu✔️
4 mfukunyuku✔️
5wivu unamwagika
6 ungomvi kiduchu kwenye simu✔️
Ugomvi physical 👎
7 sex 100.9.99
Gudubaiii kama huna hela asilimia 50 huwezi kusimamisha kwa msongo wa mawazo so tafuta hela kwanza bye baba jeniHela ndo sina jamani
VR inasema wewe ni ke ya kweli haya🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️Kumbe umejijua vizuri kabisa. Sasa baki mwaminifu, hasira zipungue kidogo, mengine maisha yatafundisha. 😄👌