JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

mara ya mwisho alisema anaumwa na aliniahidi kurudi akipata unafuu ila mpka saivi sijui chochote kuhusu yeye ila bado namsubiri ni matumaini yangu yuko salama huko aliko

mpe pole huyo baba yake wa hiyari naamini ataku sawa japo umenifanya nihuzunike😔,, bt ni nani?
Ikiwa bado anaumwa basi Allah ampe Shifaa kamili mdogo wangu .
Nilipewa namba yake na huyo mzee ila sijabahatika kumpata hewani ila ni imani yangu kuwa anaendelea vyema .

Ni rafiki yake kutoka hapa jamvini japo hayupo tena hapa muda mrefu kidogo sasa
 
ngoj pakikucha nitawauliza baadhi ya marafiki zake wa humu hali yake ipoje na kama watakua na mawasiliano na wakalidhia kutoa basi nitakujuza pia,,,

usiku mwema
 
Back
Top Bottom