The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,935
- 117,233
Si ndio hata mimi nashangaa,kwanini aseme Chai wakati hakujui na wewe humjui.Ukiniona kwa maandishi tu mbali na ile kuniona physical unaniona ni mtu wa kuongea chai
Ili iweje yaani?
Nipate tuzo?
Atakaesema ni chai avenue maandazi kwa mke wake chai ya rangi anywe