JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mafanikio
Upo sahihi mkuu. Tafsiri ya mafanikio inategemea na muktadha wa mtu. Mwingine hajawahi kula milo miwili kwa siku ,siku akianza kula mitatu kwake ni mafanikio. Kuna mtu ana magari matano ,akinunua moja bado kwake anaona ni mafanikio. Tujifunze kujipimia kiwango cha mafanikio tukirejelea tulipotoka sio tukirejelea maisha ya watu wengine.
 
guys, guys ... nadhani nimetenda kosa/ dhambi/ kujitia nuksi pasipo kusudia .... ivi ukichanganya mkojo wa kiume wa moto na wa kike wa moto si ni kosa? Haya mabasi ya mkoani yanabidi yawe na vyoo viwili cha kike na cha kiume...
mi nahisi jinsia kuchanganya mikojo ya moto sio jambo zuri . ndo maana kuna vyoo vya kike na kiume ili mikojo usigusane wahenga Waliofanya hivyo walikuwa na maana zao.. sasa huyu mchina mla konono anakuja kututia najisi na mabas yake...

na asipobadilisha mimi nitatengeneza bus langu lenye vyoo viwili...
 
mkojo upi ulochanganya?
 
Upo sahihi mkuu. Tafsiri ya mafanikio inategemea na muktadha wa mtu. Mwingine hajawahi kula milo miwili kwa siku ,siku akianza kula mitatu kwake ni mafanikio. Kuna mtu ana magari matano ,akinunua moja bado kwake anaona ni mafanikio. Tujifunze kujipimia kiwango cha mafanikio tukirejelea tulipotoka sio tukirejelea maisha ya watu wengine.
Fact
 
Back
Top Bottom