The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,940
- 117,259
Aisee.
"Homeboy, naona unatoka kuing'oa chuma mpya kabisa dukani leo!" nikamchokoza kwa tabasamu.
"Naam bro, ndio natoka kuivuta hii mashine muda huu. Yaani bro, mwanzo nilikuwa na bajaji ya mkopo pia, nikapambana mpaka nikamaliza mkataba. Lakini ile ilikuwa kimeo hatari, ikawa inanikatia sana nusu mkate wangu. Nikaona isiwe shida, nikaiuza nikachukua hii mpya tena kwa mkopo mwingine."
"Bro, kiukweli nina ndugu zangu wana pesa zao za kutosha tu, wako vizuri sana kiuchumi. Niliwaomba hata wanipige japo tafasi waninunulie bajaji nianze maisha, lakini wote wakanitolea nje na kukaza. Hapa nimeamua kupambana peke yangu tu."
"Homeboy, usijali wala usiweke kinyongo. Maadam umeweza kupambana mwenyewe mpaka ukapata ujasiri wa kukopa hii chuma mpya, Mungu yupo pamoja nawe. Kikubwa komaa nayo mwenyewe, kuwa makini sana barabarani, na Inshallah ipo siku hao hao ndugu watakuja kukushangaa ukisimama mwenyewe!"
"Ndio maisha hayo homeboy... kikubwa ni kutokukata tamaa. Pambana, ipo siku utakuja kulala kuku kwa mrija."
Alamsiki!Haijampa mpaka iishe! Tuendelee kupambana mpaka dakika za mwisho kabisa.
"Nimeingia kusalimia tu, wenye usingizi mzito msije mkasema hatukuonana. 😅"wale mnaopenda kula baga,vinywaji vya kusindikwa sijui pizza,kuna kakiclip kwa ajili yako
View attachment 3642711
Wapo wengi, ila wanaangalia kimya kimya. Sasa kazi ni yako kuwafanya wajibu. 😅Hakuna mdada hapa leo?
Nimemeza kidonge cha kunipa hamu ya kutongoza.
Usijali hapa kila mtu huwa anasepa kwa muda wake kuna ambao wanaingia night kali kabisa, kuna mrembo mmoja Fake P huyu mida yake ni ile wanga hana baya"Nimeingia kusalimia tu, wenye usingizi mzito msije mkasema hatukuonana. 😅"
🤣🤣🤣Wapo wengi, ila wanaangalia kimya kimya. Sasa kazi ni yako kuwafanya wajibu. 😅
Duh homeboy umeshawashtua umefeliHakuna mdada hapa leo?
Nimemeza kidonge cha kunipa hamu ya kutongoza.
🔥🔥homieUsijali hapa kila mtu huwa anasepa kwa muda wake kuna ambao wanaingia night kali kabisa, kuna mrembo mmoja Fake P huyu mida yake ni ile wanga hana baya
Kuna win-one huyu ndio mkali wao
Bila kumsahau ShesRise_1
Kwisha habari yako😅Hakuna mdada hapa leo?
Nimemeza kidonge cha kunipa hamu ya kutongoza.
Mambo homie,siku yako imeendaje leo,miss you sana🔥🔥homie
Miss you too homie siku yangu imeenda vizuri mnooo✅️Mambo homie,siku yako imeendaje leo,miss you sana