The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,952
- 117,306
Well, I found a woman stronger than anyone I know,
She shares my dreams,I hope that someday I'll share her home.
She shares my dreams,I hope that someday I'll share her home.
wow senkiyuuu😊With you, I don't fear anything❤️If you fall I will catch you, I'll be waiting...time after time.
nothing just your love🤗You may not be her first, her last, or her only,
She loved before she may love again,
But if she loves you now, what else matters?
Kumbe ni wewe hongera darling 😍wow senkiyuuu😊With you, I don't fear anything❤️
I found you boy handsome and sweet, I never knew you are the someone waiting for me,,,Well, I found a woman stronger than anyone I know,
She shares my dreams,I hope that someday I'll share her home.
umeanza uchizi sasa kaaaah,,,, mi nafanya kumsapoti tu hapo maana muhusika hayupo kwa sasa😅😅😅😅Kumbe ni wewe hongera darling 😍
Heh mnanichanganya aisee ngoja nipmzikeumeanza uchizi sasa kaaaah,,,, mi nafanya kumsapoti tu hapo maana muhusika hayupo kwa sasa😅😅😅😅
Naona mbege aliyobakiza Bibi Sasa imeanza kupanda kichwani taratibu.umeanza uchizi sasa kaaaah,,,, mi nafanya kumsapoti tu hapo maana muhusika hayupo kwa sasa😅😅😅😅
eeh pumzika tu na hivi unahisi njaa sidhani kama utapata usingizi saivHeh mnanichanganya aisee ngoja nipmzike
hata bado sijashushia nipo nasubiri chakula kifanyiwe digestion kwanzaNaona mbege aliyobakiza Bibi Sasa imeanza kupanda kichwani taratibu.
😭eeh pumzika tu na hivi unahisi njaa sidhani kama utapata usingizi saiv
mbona umeanza kudeka wakati wew ndo umegoma kukaangiza🤔 nasemajeeeee bado haujatoa machozi😅
Nalala kama panga huku sijapika naamka kupika chochote kitu 🤣🤣mbona umeanza kudeka wakati wew ndo umegoma kukaangiza🤔 nasemajeeeee bado haujatoa machozi😅
enweeee pole mwaya