dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,673
- 12,733
Em nitumie tena picha ya huo mguu nione vizuri tatizo ni nini 😎JF usiku wa manane naombeni dawa ya kuondoa haya mataka taka miguuni kwangu yananikata kinyama
Em nitumie tena picha ya huo mguu nione vizuri tatizo ni nini 😎JF usiku wa manane naombeni dawa ya kuondoa haya mataka taka miguuni kwangu yananikata kinyama
Hii miguu mbn ya mselaJF usiku wa manane naombeni dawa ya kuondoa haya mataka taka miguuni kwangu yananikata kinyama
Ulivyokuwa @ hata najua basi ulikuwa mpole.La hasha sio mimi 😆
Mimi mpole na mkalimu🥰
Labda nimfundishe siasa😁
itapendeza zaidiWe kwahiyo km vipi nije nazo take away divai hz
ndo kitu nisicho kitaka sasaHii miguu mbn ya msela
Nina account mitandao mingine kuanzia IG FB JF WhatsApp kasoro TicktockKwani wewe una akaunti Mitandao mingine si ni huu tu JF au 🤣🏃
Hahahaha,sawa sawaitapendeza zaidi
kizungu ni meyo😅in other words; Location access granted?
Jikubali. Mbona dosho12 amekukubali na amekuelewa...dalili moja wapo ya uchawi😎,, nataka niwe na soft legs sio yenye manyoya
tayali nimetuma😎Em nitumie tena picha ya huo mguu nione vizuri tatizo ni nini 😎
Safi SANA nipe akaunti name nije kuona Bidhaa za kukuungishaNina account mitandao mingine kuanzia IG FB JF WhatsApp kasoro Ticktock
Nafanya biashara ya karanga za kuchemsha so inabidi nijue kuhusu wateja wangu wa kila sehemu
Soma tena kama hujaelewa
Njoo bana,😉aiii siasa siziwezi Walah mi napenda upuuzi tu 24/7 yani sipendi kuichosha akili yangu🤣🤣
Bidhaa ni karanga za kuchemshaSafi SANA nipe akaunti name nije kuona Bidhaa za kukuungisha
Pole sanatayali nimetuma😎
asante nishapoaPole sana
nehi 😅Njoo bana,😉
Mie nazipataje bei gani, ndio Hizo wanaita za Mechi?Bidhaa ni karanga za kuchemsha
Mimi hapa. Unaamuaje?wait nani kasema hajikubali?
sina cha kusema ila nina cha kukufanyaMimi hapa. Unaamuaje?