win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,115
- 31,043
kweli akutukanae hakuchagulii tusi hivi ushawahi kuona wapi mjaluo mweupe?🤨 endelea ice nitakuvunja mifupa ohooo🤣🤣Nakuja kukufuta machozi cheupe wangu usilie.
kweli akutukanae hakuchagulii tusi hivi ushawahi kuona wapi mjaluo mweupe?🤨 endelea ice nitakuvunja mifupa ohooo🤣🤣Nakuja kukufuta machozi cheupe wangu usilie.
u dizevu betaaa,, kwahiyo sisi waluga luga twende wapi?, tulieni hapo kwanza tuwalize😜😆😆I know en i feel you but you know what? Let's go again and back unrecognizable G, we deserve better.
Mungu nifundishe kunyamaza.u dizebu betaaa,, kwahiyo sisi waluga luga twende wapi?, tulieni hapo kwanza tuwalize😜😆😆
na unyamaze kweli🤣🤣🤣Mungu nifundishe kunyamaza.
Nipo kwenye suala la usiliazi na kijana the gost wewe unaleta masiharana unyamaze kweli🤣🤣🤣
masihara yapo wapi, mtu asiulize kitu kwa upendo😏Nipo kwenye suala la usiliazi na kijana the gost wewe unaleta masihara
Kama ni upendo tu basi kheri fanya jambo kijana ghost bado mambo si shwari 😎masihara yapo wapi, mtu asiulize kitu kwa upendo😏
kweli hauna huruma, unataka umpoteze mwenzio hivi hivi😆😆😆Kama ni upendo tu basi kheri fanya jambo kijana ghost bado mambo si shwari 😎
Na wewe ni mmoja wao kama yule alie mtia majeraha makali ya moyo.kweli hauna huruma, unataka umpoteze mwenzio hivi hivi😆😆😆
Unampenda mtoto wa mtu hadi unajifunza lugha yao halafu anakuacha!The Icebreaker atajinyonga kwa ulimi😆😆😆
mule mule nahisi mi naingia mara 3 ya huyo 💃Na wewe ni mmoja wao kama yule alie mtia majeraha makali ya moyo.
to yeye ni mnyakyusa bwana😆😆 we hicho kisukuma umekitoa wapi?Unampenda mtoto wa mtu hadi unajifunza lugha yao halafu anakuacha!
Sasa hiki Kisukuma nitaongea na nani?
Hahahaha i see they just call you HEART BREAKER 💔mule mule nahisi mi naingia mara 3 ya huyo 💃
hilo jina zuri ngoja nitabadili hii user name asante sana☺️Hahahaha i see they just call you HEART BREAKER 💔
Wapi mimi nimemtaja To yeye?to yeye ni mnyakyusa bwana😆😆 we hicho kisukuma umekitoa wapi?
nimekomaWapi mimi nimemtaja To yeye?
call ma name😆😆😆😆 nimefanya nini
Your are so stoic 🥶call ma name😆😆😆😆 nimefanya nini