JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Unajua nini,sometime unaishi nao kitaalamu tu!​

Niaaje niaje watu wa mtaa wa usiku wa manane,tunaanza kibabe namna hii,huku hatuna unyonge labda unyonge ulete wewe tu!

Leo bwana nikiwa job ile mitaaa ya jioni kabisa,katika harakati za kujirudisha mahome,tukawa tunabadilishana mawazo na homeboy mmoja hivi, leo si unajua ndio ile pay daay,so akasema ashadaka mapene lakini akianza zile hesabu za kutoa zile,si unajua zile total mshahara toa sijui bill ya maji,toa mgonjwa anahitaji dawa,toa sijui mtoto wa mjomba anataka kuoa,so hizi hesabu zikiendelea sana mwisho wa siku unakuta kamshahara kwako almost kushiney

Ndo akanipa code kwamba,kuna ndugu zake,wakati yeye anaumwa na mkewe,hakuna ambaye alionyesha sapoti ya kuchangia chichote,lakini now ndugu hayo full kupiga simu wanataka mchanga wa harusi wa binti yao,daaah sio poa

So mwamba akaja na hitimisho kwamba ukiendekeza sana kila kitu ujitoe kwa ndugu ambao hawana shukrani mwisho wa siku utafeli,kikubwa ni kuishi nao kitaalamu zaidi.

So kusaidiana ni jambo zuri sana kama binadamu na kama ndugu,ila pale ndugu hao hao ambao huwa unawapa kampani linapokuja swala la wewe kutaka sapoti yao na wao hawapo pamoja na wewe,inabidi ubadili mtazamo wako juu yao na kuishi nao kitaalamu zaidi

Alamsiki!
 
Leo si ndio pay day au sio,hivi ushawahi ona vibe la mtu ambaye mwisho wa mwezi umefika halafu hana madeni

basi ebu mcheki mwamba hapa kwenye clip

Unajua nini,sometime unaishi nao kitaalamu tu!​

Niaaje niaje watu wa mtaa wa usiku wa manane,tunaanza kibabe namna hii,huku hatuna unyonge labda unyonge ulete wewe tu!

Leo bwana nikiwa job ile mitaaa ya jioni kabisa,katika harakati za kujirudisha mahome,tukawa tunabadilishana mawazo na homeboy mmoja hivi, leo si unajua ndio ile pay daay,so akasema ashadaka mapene lakini akianza zile hesabu za kutoa zile,si unajua zile total mshahara toa sijui bill ya maji,toa mgonjwa anahitaji dawa,toa sijui mtoto wa mjomba anataka kuoa,so hizi hesabu zikiendelea sana mwisho wa siku unakuta kamshahara kwako almost kushiney

Ndo akanipa code kwamba,kuna ndugu zake,wakati yeye anaumwa na mkewe,hakuna ambaye alionyesha sapoti ya kuchangia chichote,lakini now ndugu hayo full kupiga simu wanataka mchanga wa harusi wa binti yao,daaah sio poa

So mwamba akaja na hitimisho kwamba ukiendekeza sana kila kitu ujitoe kwa ndugu ambao hawana shukrani mwisho wa siku utafeli,kikubwa ni kuishi nao kitaalamu zaidi.

So kusaidiana ni jambo zuri sana kama binadamu na kama ndugu,ila pale ndugu hao hao ambao huwa unawapa kampani linapokuja swala la wewe kutaka sapoti yao na wao hawapo pamoja na wewe,inabidi ubadili mtazamo wako juu yao na kuishi nao kitaalamu zaidi

Alamsiki!
Sawa
 
Back
Top Bottom