mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
Muonee huruma mtoto wa KE mwenzio.kawaida yako bwana aah
Muonee huruma mtoto wa KE mwenzio.kawaida yako bwana aah
huruma sio malezi dogoMuonee huruma mtoto wa KE mwenzio.
Mshamba anaachwa kwenye mataa muda si mrefu,kisha tutamcheka hata kama amesema asichekwe.Furaha yetu nikuona hawa watu 2 wakitapeliana kweupe JF
Mshamba anachekesha kama hatokei kwenu 😅😅Mshamba anaachwa kwenye mataa muda si mrefu,kisha tutamcheka hata kama amesema asichekwe.
Haya bwana,huruma sio malezi dogo
kuku-kumbuka siwezi ila pa kukupata napafaham vizuri tu😉Haya bwana,
Siku moja utanikumbuka. Utanitafuta na hutonipata.
Bado dakika tano.🌚kuku-kumbuka siwezi ila pa kukupata napafaham vizuri tu😉
utasubiri sana utasubiri💃💃💃Bado dakika tano.🌚
Fanya kweli basi...
Yani unampiga mkwala barafu wa moyo wangu mbele yangu?Haya bwana,
Siku moja utanikumbuka. Utanitafuta na hutonipata.
Unaona ujinga wako sasa?
mi nilikua namjulia hali tu jamani😪😪 usinikaripie mimi ni last bornUnaona ujinga wako sasa?
Last born kwenu huko Nanjilinji ila sio JF.mi nilikua namjulia hali tu jamani😪😪 usinikaripie mimi ni last born
nimelia sana , mwanaume hauko romantic hata kidogo😔, bora nirudi zangu nanjilinj🚶♀️Last born kwenu huko Nanjilinji ila sio JF.
Nakuja kukufuta machozi cheupe wangu usilie.nimelia sana , mwanaume hauko romantic hata kidogo😔, bora nirudi zangu nanjilinj🚶♀️
😂Kilamtu amepata ampendaye🥴
Am not gonna lie. It's been tough since that day. Man Thanks for asking.🫂🙏The ghost writer how things so far?
The Icebreaker atajinyonga kwa ulimi😆😆😆😂Kilamtu amepata ampendaye🥴
I know en i feel you but you know what? Let's go again and back unrecognizable G, we deserve better.Am not gonna lie. It's been tough since that day. Man Thanks for asking.🫂🙏