ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,264
- 40,915
Nawafatilia kwa ukaribu
Ungekuwa hapa karibu ningekubutua.you too😎
jeuri hunaUngekuwa hapa karibu ningekubutua.
Marhaba.Nawafatilia kwa ukaribu
Usinione hivi, mimi ni mkali kama pilipili!jeuri huna
hata na hivyo sikuoni😜Usinione hivi, mimi ni mkali kama pilipili!
Aisee.hata na hivyo sikuoni😜
Ngoja niungane na wewe,tuwafuatilie.Nawafatilia kwa ukaribu
Binti ana nyodo huyo.Aisee.
umeniona? 😆Binti ana nyodo huyo.
Hapo kanipandisha na kunishusha.
Chukua hii 🍿Ngoja niungane na wewe,tuwafuatilie.
Nimekuona.umeniona? 😆
Hapa tayari nina kaglasi ka gongo na Sigara pori.Chukua hii 🍿
Naona mshamba anataka kuchekeshwa🙄
nishatoka huko uswahilini kitambo usikalili😄 saivi nina uzungu ni mwendo wa ku calmNimekuona.
Na umesonya juu.
Kiuno umenishikia.
Na shingo umenizungushia.
Haya niko PM nasubiri, ikifika 1:00 AM nalala zangu.nishatoka huko uswahilini kitambo usikalili😄 saivi nina uzungu ni mwendo wa ku calm
Eishsssssss unasubiri nini? we lala bwana tushamalizanaHaya niko PM nasubiri, ikifika 1:00 AM nalala zangu.
Nitaota ndoto mbaya...Eishsssssss unasubiri nini? we lala bwana tushamalizana
kawaida yako bwana aahNitaota ndoto mbaya...
Furaha yetu nikuona hawa watu 2 wakitapeliana kweupe JFHapa tayari nina kaglasi ka gongo na Sigara pori.