JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nipo macho naangalia wafcon baina ya mali na cameroun,na wake zangu wote 2 wapo,huyu anayeishi marekani kaja leo asubuhi basi tumejumuika pamoja kwa amani na furaha,huku tunaimba:leo silali,mitungi nakesha nawasha nachoma,watatii finale,watatupenda finale,refariii finale.
bereterepeterete
 
Back
Top Bottom