Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,319
- 85,411
Labda utaondoka nacho wewe mimi sitaki mizigo aisee!😅Nataka kajomba mimi
Labda utaondoka nacho wewe mimi sitaki mizigo aisee!😅Nataka kajomba mimi
Angewika usiku wa Mwanzo mwanzo, asubuhi ni wakuchinja huyo vinginevyo lazma uitwe mchawi kiafrica 🤗Afadhali wasomi mnaongezeka, tayari ningeambiwa uchawi🙌🏾
We unakula sembe??Kizazi cha kina Nkrumah walikuwa wanakula dona
Weka namba hapo chini!Usijali, nitumie na sadaka yako nikutunzie sasa hivi
Ila wali na maharage heshima yake Iko pale pale bwana..Uku awali wakisifia sana maharage ya nazi
Dona ya huku inanukia dawa ya kuzuia waduduWe unakula sembe??
Kuna muda wanajisahau wanawika mapema sijui kwanini! Kuitwa mchawi ni kugusa, mara paka apite anaongea mwenyewe duh!🫢Angewika usiku wa Mwanzo mwanzo, asubuhi ni wakuchinja huyo vinginevyo lazma uitwe mchawi kiafrica 🤗
Nkuruma muite kwa heshima yake bwana Osagyefo.🤗🤗Kizazi cha kina Nkrumah walikuwa wanakula dona
Nzuri kipolo chake na chai asubuhi. Huwezi kuwaza mahusiano kwa raha na utamu wakeIla wali na maharage heshima yake Iko pale pale bwana..
Nakutumia uko chumbaniWeka namba hapo chini!
Duhh pole! Sie tunakula dona safi safi! Sembe haikanyagi ndani kwetu ni ugomvi mkubwa!😆Dona ya huku inanukia dawa ya kuzuia wadudu
This is Africa and Africa is our business....Kuna muda wanajisahau wanawika mapema sijui kwanini! Kuitwa mchawi ni kugusa, mara paka apite anaongea mwenyewe duh!🫢
Majirani zako wanasubiri waone dalili tu macho yako yakiwa mekundu tu kwisha habariKuna muda wanajisahau wanawika mapema sijui kwanini! Kuitwa mchawi ni kugusa, mara paka apite anaongea mwenyewe duh!🫢
Haina noma mwanetu!Nakutumia uko chumbani
Nakumbuka vita vya majimaji, wanapigwa risasi wanasema maji maji... kilichofuata sijuiNkuruma muite kwa heshima yake bwana Osagyefo.🤗🤗
Kuna na ule ugali wa manati unavutikaDuhh pole! Sie tunakula dona safi safi! Sembe haikanyagi ndani kwetu ni ugomvi mkubwa!😆
Ntakatwakatwa mapanga mimi eh Mungu nisaidie!😁Majirani zako wanasubiri waone dalili tu macho yako yakiwa mekundu tu kwisha habari
Hapo kwa upolo nimekuacha😂😂😂 🙏🤸🤸🤸 labda Cha kisamvu tuNzuri kipolo chake na chai asubuhi. Huwezi kuwaza mahusiano kwa raha na utamu wake
Wa udagaKuna na ule ugali wa manati unavutika
Walidanganywa kama wewe unavyotuzoaga humu 😂😂😂Nakumbuka vita vya majimaji, wanapigwa risasi wanasema maji maji... kilichofuata sijui