Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,749
Niirudi hm Sasa, sio mpk wanigongee mlango
Kwahy unataka kusemaje 😂
Hupendi kuombwa msamaha?
nilikuepo nyumban,, eh show iliisha mda ganiUko wapi? Niko Maeneo ya M City
miss you toooo Tresor Mandalawin-one miss so much
Aaargh,nilikuepo nyumban,, eh show iliisha mda gani
Thanks,😘miss you toooo Tresor Mandala
yes yes, twende kwenye bss au hauwafuatilii genzAaargh,
Bila kukuona wewe humu,sijisikii aman wala furahamiss you toooo Tresor Mandala
mi pia🤭Bila kukuona wewe humu,sijisikii aman wala furaha
Huko nitakutana na wadogo zangu, nitashindwa ku enjoyyes yes, twende kwenye bss au hauwafuatilii genz
Nafurahi Kusikia hivimi pia🤭
ooh kwan unataka kuenjoy nini? si utakua unanipa mimi company tuHuko nitakutana na wadogo zangu, nitashindwa ku enjoy
Company sawa,ila nilivyocha Sasa km mbwa koko ,ni lini hii bssooh kwan unataka kuenjoy nini? si utakua unanipa mimi company tu
kwanini mbwa koko? ulilewa sana kweny show ya Jana eee,.nahisi ni leo kama hawaja badili ratibaCompany sawa,ila nilivyocha Sasa km mbwa koko ,ni lini hii bss
Ni kawaida ya waomba msamaha, mnaombaga msamaha bilaKwahy unataka kusemaje 😂
Afu unaweza ukawa hujakosea kitu na bado ukaomba msamaha na usisamehewe 😂
Sasa kama husamehewi?Hupendi kuombwa msamaha?
DohSasa kama husamehewi?