Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,918
- 7,752
Signal zinaanza kusambazwa kwa watoto utaskia wanaita bibi seran mchawi usile maembe yakeNtakatwakatwa mapanga mimi eh Mungu nisaidie!😁
Signal zinaanza kusambazwa kwa watoto utaskia wanaita bibi seran mchawi usile maembe yakeNtakatwakatwa mapanga mimi eh Mungu nisaidie!😁
Eewaaa nilipenda hii zama zile ila kwasasa nawezaje kukipataHapo kwa upolo nimekuacha😂😂😂 🙏🤸🤸🤸 labda Cha kisamvu tu
Aki nitalia sana nitakuwa nashinda kanisani😅Signal zinaanza kusambazwa kwa watoto utaskia wanaita bibi seran mchawi usile maembe yake
Utakipata ila taste sio ile tena..kwanza siku hizi hawatwangi tuna blend tu et.🥹Eewaaa nilipenda hii zama zile ila kwasasa nawezaje kukipata
Chemsha maji chinja mmoja au kaangalie bandana maana kuku na usikuu huu hawawezi kuwika pasina sababuKuku hawataki kabisa kukaa kimya! Sasa ndio nini 😠
Huu ushauri wa kijanja janja sana.😂😂 Sawa na any number raised to the power of O is one...Chemsha maji chinja mmoja au kaangalie bandana maana kuku na usikuu huu hawawezi kuwika pasina sababu
Mambo0246 Shinda Ugumu/Maumivu
Faza Abel umepewa majukumu ya taifa Zima..busy sanaMambo
Ndio aisee sio powaa yaaniFaza Abel umepewa majukumu ya taifa Zima..busy sana
Pumzika kabisa mkuu..😂😂Ndio aisee sio powaa yaani
NimekumisiPumzika kabisa mkuu..😂😂