Watoto wa usiku wanakuwa na akili za Bashite na Thadeo wa TOC.Muda wa kutengeneza watoto huu, nyie mnaokesha humu, mmefukuzwa kitandani?
Nimeambiwa nikalale store😅Muda wa kutengeneza watoto huu, nyie mnaokesha humu, mmefukuzwa kitandani?
Dunia ni kubwa hii,Muda wa kutengeneza watoto huu, nyie mnaokesha humu, mmefukuzwa kitandani?
Unakula nyama za watu na unashangilia🙄Leo mbona sioti nakula nyama choma kulikoni
Imagination tu hizoUnakula nyama za watu na unashangilia🙄
Haya rudi ukaendelee kuimagine!Imagination tu hizo
Mtasingizia huko ni mchana, mapori yanahitaji watu, utumieni usiku vizuriDunia ni kubwa hii,
JF sio kijiji cha watu wanaoushi sehemu moja.
Umefanya kosa ganiNimeambiwa nikalale store😅
Nimekataa kuwa mtumwaUmefanya kosa gani
Kile kizazi cha miaka ya 50's cha kupigania uhuru, nyakati hizi kimepotelea wapi?Watoto wa usiku wanakuwa na akili za Bashite na Thadeo wa TOC.
Shughulika wewe, hicho sio pambo, kinatakiwa kifanye kazi iliyokusudiwa.Nimekataa kuwa mtumwa
Kimehamishia mapigano sehemu nyingine..🤗Kile kizazi cha miaka ya 50's cha kupigania uhuru, nyakati hizi kimepotelea wapi?
Hapana siwezi hiyo kazi ni ngumu! Hapa natamani udongo tu😜Shughulika wewe, hicho sio pambo, kinatakiwa kifanye kazi iliyokusudiwa.
Sehemu za siri😅Kimehamishia mapigano sehemu nyingine..🤗